Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tuwe na moyo wa shukrani, tukijua kwamba kila siku ni nafasi ya kujifunza, kukua, na kuwa na matendo mema. Ametupa siku nyingine, na kwa hiyo tunamshukuru kwa wema wake usio na mipaka. Aendelee kutuongoza na kutubariki katika kila hatua tunayochukua..
 
Pesa ya kuumpa Mungu ni kufanya matendo mema hapa duniani Ili uwe na safari njema Pindi utakapo ondoka hapa duniani,akujalie na hatma ilio njema
 
Moyo wako ni kiwanda Cha upendo na matendo mema ndivyo chakula Cha moyo na moyo wako ukifirahi unapenda zaidi
 
Moyo wako ni kiwanda Cha upendo na matendo mema ndivyo chakula Cha moyo na moyo wako ukifurahi unapenda zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…