Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sote tuna nafasi ya kujibadilisha na kuangalia upya thamani yetu, si kwa sababu ya mwonekano tu, bali kwa utu na matendo mema tunayochagua kila siku.
 
Mtu atashiba mema kwa matunda ya kinywa chake; Na atarudishiwa matendo ya mikono yake.

Mithali 12:14
 
Jisemee Mistari hii 5 kila Asubuhi

1. Mimi ni mshindi
2. Naweza
3. Nimebarikiwa
4. Mungu yu pamoja nami
5. Leo ni siku yangu.
 
Jisemee Mistari hii 5 kila Asubuhi

1. Mimi ni mshindi
2. Naweza
3. Nimebarikiwa
4. Mungu yu pamoja nami
5. Leo ni siku yangu.
 
Mathayo 5:16
Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.
 
Anza mwaka mpya kwa matendo mema, weka fikira chanya. Badilika sasa ,2025 iwe tofauti na miaka mingine.Kisha Mola akuongoze.
 
Wema wa mtu hujidhihirisha kwa matendo yake na sio kwa maneno yake sababu maneno ni rahisi kumtamkika kuliko matendo mema kutendeka.
 
Watu wanaweza kuharibu sifa yako, kuharibu haiba yako na kueneza uvumi kukuhusu, lakini hawawezi kamwe kuchukua matendo yako mema.
Kwa sababu haijalishi wanavyokuelezea, daima utapendwa na wale wanaokujua vyema.
 
Safari ndefu zaidi kwa mwanadamu hapa duniani ni baina ya;

1. Maneno na matendo yake.

2. Akili na moyo wake.

3. Kuyahama mazoea mabaya kuelekea katika mazoea yaliyo mema.
 
Maneno na Midomo inauma tunatakiwa kujisemea Mema kila siku.

1. MIMI ni Mshindi All the time.
2. Leo ni Siku Yangu ya Mafanikio.
3. Leo ni Siku ya Kupata Cha jana na Leo.
4. Mungu ni Wetu Sote.
5. Mungu Atupe Mafanikio.
6. Mungu atuepushe na Husda.
7. Mungu atupe Watu wema.
 
Kwenye ulimwengu wa MAHUSIANO, huwezi pata mwenza aliyejitosheleza.

Ukitafuta mwenye Pesa "
(power) utakuta hana muda. Ukipata mwenye Muda (care) utakuta hana Pesa.

Kibaya zaidi wote wana nafasi muhimu kwenye mahusiano, kazi kwako sasa, utachagua kuzika ama utasafirisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…