Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maisha ni daftari ambalo halichaniki endapo utalitunza vizuri, inamaana kuwa matendo mema ya binadamu huwa hayafutiki hata atakapofariki mazuri yatazungumzwa tu, USIACHE KUWA MTU MWEMA
 
Kama huwezi kuwa mwanga wa kuangazia matendo mema ya watu, basi usiwe giza linalofunika juhudi zao.
 
Kama huwezi kuwa maji yanayosaidia mazao ya watu kuota, basi usiwe mdudu anayeharibu mazao yao.
 
Ipambe dunia yako kama utaishi milele na ipambe akhera yako kwa matendo mema kama unakufa kesho.
 
Ipambe dunia yako kama utaishi milele na ipambe ahera yako kwa matendo mema kama unakufa kesho.
 
Ukamilifu wa ibada ni pamoja na Matendo mema, Upendo, Kujitoa kwa ajili ya wengine na heshima na sio kwenda kanisani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…