Maisha ni safari yenye milima na mabonde. Muda mwingine tunapitia changamoto si kwa sababu tumekosea, bali ili tujifunze na kuwa imara zaidi. Uvumilivu ni nguzo muhimu, na kushukuru ni ufunguo wa amani. Hata kwenye giza, mshukuru Mungu kwa mwanga unaokuja. Tuwe watu wa subira, matumaini, na shukrani!"