Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Kuitafuta furaha ndio mtihani wetu katika maisha ya dunia, kuipata furaha ndio kilele cha mafanikio yetu duniani. Furaha ni fumbo la maisha." ~Togolani Mavura
 
Maisha si mashindano, ni safari ya kipekee. Kila mtu ana njia yake, hatua zake, na wakati wake. Usifananishe safari yako na ya wengine; kila mchwa ana mzigo wake
 
Maisha ni safari yenye changamoto, lakini ndani ya kila changamoto kuna fursa ya kukua na kufanikiwa. Siri ya mafanikio ni kujiamini na kuwa na nia thabiti ya kusonga mbele hata pale mambo yanapokuwa magumu.
 
Maisha ni safari ya kujifunza, kukua, na kushinda changamoto. Kila hatua inatufundisha kuwa nguvu zetu zinatoka ndani yetu, na mabadiliko ya kweli huanza na sisi wenyewe.
 
Maisha ni safari, sio shindano. Furahia kila hatua unayochukua na ujifunze kutoka kwa kila uzoefu.Jifunze kutoka kwa kila hatua, kwani kila moja inakufanya kuwa bora zaidi!
 
Safari ya maisha ni simulizi ndefu sana, usimuone mtu anavaa suti leo na anapanda ndege, badala ya kumchafua, muulize amefikaje?Ndio maana Mungu aliamua suala la rizki libaki kwake maana angetuachia siye binadamu tungeweza kunyimana kwa jinsi tulivyo na chuki, wivu na hasidi.
 
"Hujafa hujaumbika" inaweza kuonekana ni Methali tu ya Kiswahili, lakini ina uzito mkubwa. Kamwe tusihukumu wala kukosoa uumbaji wa Mungu, nyakati, au safari ya maisha ya binadamu mwenzako. Kila mmoja yuko katika safari yake, na hatujui kesho yako itakuwaje.
 
Maana nzima ya kuishi maisha ni kuishi wakati unayo maisha, sio kutafuta ili uishi. Maisha hayakusubiri uyaishi, maisha yanakwisha. Safari ya mafanikio ndio mafanikio yenyewe, unachopata baada ya hii safari ni mwisho wa mafanikio. Jitahidi kufurahia safari yako kuliko uendapo.
 
Maisha ni safari ya kuishi kwa imani na wingi wa matarajio kwa sababu kesho haijulikani na ni mwanzo pekee ndio hujulikana lakini mwisho wake hakuna hajuaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…