myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hili pia kweliMaisha si mashindano, ni safari ya kipekee. Kila mtu ana njia yake, hatua zake, na wakati wake. Usifananishe safari yako na ya wengine; kila mchwa ana mzigo wake
SawasawaMaana nzima ya kuishi maisha ni kuishi wakati unayo maisha, sio kutafuta ili uishi. Maisha hayakusubiri uyaishi, maisha yanakwisha. Safari ya mafanikio ndio mafanikio yenyewe, unachopata baada ya hii safari ni mwisho wa mafanikio. Jitahidi kufurahia safari yako kuliko uendapo.
SawaUkiwauliza watu maisha ni nini utapata majibu mengi sana. Kila mtu ana tafsiri yake juu ya maisha. Kuna watakaokwambia maisha ni safari, wengine watasema maisha ni mapigano, wengine maisha ni mchezo na mengine mengi
Sawasawa ✔️ ✔️Maisha ni safari, kila hatua ina somo lake jifunze, komaa, na endelea kusonga mbele....
AiseeMahusiano na urafiki yanapaswa kumsogeza kila mmoja karibu na furaha yake na ndoto za maisha yake. Harakati za kuikimbiza furaha yako zisifanye mwenza au rafiki yako aikimbie mbali furaha yake. Usitake watu waache safari zao usindikizwe peke yako. Kuishi ni kusindikizana!"
Ujumbe muhimuMaisha ni safari ya kuishi kwa imani na wingi wa matarajio kwa sababu kesho haijulikani na ni mwanzo pekee ndio hujulikana lakini mwisho wake hakuna hajuaye
Ujumbe muhimu sanaSafari yako ya maisha ni kubwa kuliko malengo yako na ndoto zako, unaweza kufanikisha mengi tu ambayo hayakuwa malengo yako wala ndoto yako, endelea na safari hatakama unaona hufikii malengo kwa sababu sio lazima utokee kwenye mlango ulio utegemea
Sawasawa kabisaSafari yako ya maisha ni kubwa kuliko malengo yako na ndoto zako, unaweza kufanikisha mengi tu ambayo hayakuwa malengo yako wala ndoto yako, endelea na safari hatakama unaona hufikii malengo kwa sababu sio lazima utokee kwenye mlango ulio utegemea
✅️✅️Matatizo ni sehemu ya safari ya maisha, Jitahidi ukumbuke hilo na ujiweke tayari kwenye kila hatua ufanyayo sasa ujue kuwa yapo
👍👍👍Maisha si mashindano, ni safari yako binafsi. Tembea kwa kasi yako
✅️✅️✅️Safari ya maisha si rahisi, lakini uamuzi wa kusonga mbele ni wako
Unataka kusemajeeee...
AiseeKama hawakuzingatii jizingatie kwanza