Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
ho chi minh angalia huyu jamaa anatishia kuchoma nyumba kwa kuimwagia maji ya moto[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Vita hivi haviangalii nani kakupa silaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huo ulimi utarudi tu,tena bila hiari[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] nitafanya kila niliwezalo niipoteze hiyo naniu yako inayo kufanya ukose usingizi kufikiria nanihiii za wakubwa zako
Tulia wewe Dr. Love nitibu mtoto mzuri anaelia kisa mapenzi
Watoto wazuri wanaitaji kupetiwa petiwa ngoja nianze operation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…