Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
SawaKama maisha yamekupa nafasi ya upendeleo basi usianze kuwaita wengine wavivu
🙏🙏Asalaam Alyeikum.
Hamjambo wapendwa
SawaUaminifu ukipotea haurudi tena, ukiutafuta na kuupata unakuta tayari umeshabadilika na kuwa wasiwasi, jitahidi kuaminika pale unapoaminiwa”
✅️✅️Kwenye Maisha Changamoto Kubwa Ni Kwamba Wapo Watu Ambao Wataamua Kupambana Na Umasikini Walionao.
Lakini Vile Vile Wapo Watu Ambao Badala Ya Kuunga Mkono Juhudi Za Kupambana Na Umasikini Huo Wao Wataamua Kupambana Na Watu Ambao Wameamua Kupambana Na Umasikini.
✅️✅️Chagua kupenda zaidi, kuchukia kidogo, na kufurahia kila siku."
✅️✅️Uaminifu ukipotea haurudi tena, ukiutafuta na kuupata unakuta tayari umeshabadilika na kuwa wasiwasi, jitahidi kuaminika pale unapoaminiwa”
SawaKatika maisha ya leo tujifunze jinsi kuishi na watu vizuri pia usiamini tu binadamu kuwa na mipaka yako usipende kuweka vitu vyako kwa umma au jamii inayokuzunguka hasa mtandaoni
✅️✅️✅️Ndoto iliyoandikwa inakua lengo.
Lengo lililogawanywa katika hatua huwa mpango.
Mpango unaoungwa mkono na hatua huwa ukweli
✅️✅️✅️Hakuna zawadi nzuri utaipata kwingine kama UHAI na AFYA njema inayotoka kwa Mungu.