myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
ho chi minh angalia huyu mfa maji akosi kutapa tapa[emoji106] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wadogo mmenipanda kichwani...namtegua mtu maumbile yake
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
NdioWeekend imeanza
Unaleta Hizi ni mbwembwe za maharage kuruka ruka ndio kuiva kwake. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na ujiandae na ukilema wa........
Hakuna kurudi nyuma kama mchwa kunashambulia post kama mbaoKazi kazi
Huyo mbwembwe tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Acha Dr Love niwatibu watoto wazuri inaniuma sana nikiona chozi shavuni kwa mtoto mzuri kisa mapenzi.Atazitumia kwenye mazizi ya watu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo kelele za chura"Lu lu lu lu" vigelegele..........
Njema sana BOSSHabari za ijumaa wakuu,kumekuchwa tena
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Wqnachelewa kukufahamu vyemaMie sina maneno hata ukiweka pilipili machoni ni mkimya tu ndo maana nimewaomba tuwe pamoja ili wasihangaike.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hayo macho yanaona sana mkuuMkuu macho yako wakati mwingine hukufanya usiaminike sana.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Na hiyo ndio changamoto niipatayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vijana wana bembeleza hadi chozi linawatoka.[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] usipombembeleza atabembelezwa nje[emoji106] [emoji106] [emoji106] kula like
the great
Kama kawaida kiongoziwakuu naona mdude unazidi songa
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app