Hushusha shinikizo la damu mwilini, Mgusano wa mwili husababisha neva za kwenye ngozi zinazoitwa “Pacinian corpuscles” kupeleka habari kwenye sehemu ya ubongo (vagus nerve) inayohusika kushusha shinikizo la damu.

Watoto wanaokumbatiwa kwa kiasi kikubwa wakiwa watoto, huwa katika hatari ndogo zaidi ya kupata msongo wa mawazo kuliko watoto wasiokumbatiwa vya kutosha.

Hazifutiki milele, swali linakuja je, miaka kadhaa ijayo utaendelea kukipenda kitu ambacho umekipenda leo nakukichora? Mfano, unadhani unakipenda Ulichokuwaukikipenda kufanya miaka 10 iliyopita? Kazi
Hazifutiki milele, swali linakuja je, miaka kadhaa ijayo utaendelea kukipenda kitu ambacho umekipenda leo nakukichora? Mfano, unadhani unakipenda Ulichokuwaukikipenda kufanya miaka 10 iliyopita?
Kuchora tattoo ni gharama, kabla ya kujichora tattoo lazima ujipange kwanza ili upate kitu unacho kihitaji kwa gharama sahihi na kuepuka tattoo ya ubora wa chini na kutokuwa na muonekano unaoutaka.

Ni hatari labda tu uchorwe na mtu mwenye uwezo mkubwa wa kuchora kwani kuna miili ina ‘aleji’ na wino utumikao kuchora tattoo. Yaani eneo ulilochora mchoro wa tattoo, linaweza kudhurika kwa namna mbalimbali