Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkumbushe mwanao kua Dunia sio bustani ya maua ni shamba la miba atembee kwa tahadhari!
 
Mkumbushe mwanao tumefanyiwa mazuri na watu wanaoitwa wabaya na tumefanyiwa mabaya na watu tunaowaita wazuri.. mwambie aishi na kila mtu kwa akili
 
Mkumbushe mwanao wa kwenye Maisha hakuna Mtu asiopenda Kuwa na maisha mazurii isipokua Juhudi, nidhamu na kuishi na watu vizurii ndio zinaweza kumeletea aina ya Maisha mazurii anayoyataka yawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…