Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jaribu tena, bisha milango mingi zaidi, tafuta kwa weng zaidi, omba kwa wengi zaidi milango itafunguliwa na utapata bora zaidi na yupo atakaekupa kwa kadiri ya kiu yako
 
kila unalo lipitia katika maisha yako Lifanye kuwa ni funzo kwako na ujifunze jinsi ya kulikabili na kulishinda na sio kuliogopa na kukata tamaa, kikubwa muombe mungu usijaribu kukata tamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…