myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaHazifutiki milele, swali linakuja je, miaka kadhaa ijayo utaendelea kukipenda kitu ambacho umekipenda leo nakukichora? Mfano, unadhani unakipenda Ulichokuwaukikipenda kufanya miaka 10 iliyopita?
KweliWatoto wanaokumbatiwa kwa kiasi kikubwa wakiwa watoto, huwa katika hatari ndogo zaidi ya kupata msongo wa mawazo kuliko watoto wasiokumbatiwa vya kutosha.
SawasawaYAJUE HAYA KABLA YA KUAMUA KUJICHORA TATTOO
Mie spendi hizoKuchora tattoo ni gharama, kabla ya kujichora tattoo lazima ujipange kwanza ili upate kitu unacho kihitaji kwa gharama sahihi na kuepuka tattoo ya ubora wa chini na kutokuwa na muonekano unaoutaka.
SahihiMfumo wa Chakula
Husaidia mwili kunyonya virutubisho kwenye chakula. Hii husaidiana sana pale unapoamua kupunguza uzito wa mwili na kupata virutubisho vilivyo muhimu tu.
📌📌Mfumo wa Chakula
Husaidia mwili kunyonya virutubisho kwenye chakula. Hii husaidiana sana pale unapoamua kupunguza uzito wa mwili na kupata virutubisho vilivyo muhimu tu.
✅️✅️Huondoa Harufu mbaya ya kinywa.
Tofauti na vyakula vingine kama kitunguu swaumu, tangawizi husaidia uwe na harufu nzuri pale unapopumua na kufanya maeneo yamdomo kuwa safi
SafiiiiiHuondoa Harufu mbaya ya kinywa.
Tofauti na vyakula vingine kama kitunguu swaumu, tangawizi husaidia uwe na harufu nzuri pale unapopumua na kufanya maeneo yamdomo kuwa safi
Kweli hiliNi hatari labda tu uchorwe na mtu mwenye uwezo mkubwa wa kuchora kwani kuna miili ina ‘aleji’ na wino utumikao kuchora tattoo. Yaani eneo ulilochora mchoro wa tattoo, linaweza kudhurika kwa namna mbalimbali
Sawasawa kabisaKurekebisha Sukari ya Mwili
Tangawizi husaidia katika kuweka sawa kiwango cha sukari kwenye damu. Wagonjwa wa Kisukari wanashauriwa kutumia Tangawizi badala ya chai.
Huu ni ukweliMkumbushe mwanao Tajiri akiumwa maskini hukimbia kwenda kumjulia hali ila maskini akiumwa tajiri husubiri hadi apone ndipo humuuliza alikuwa wapi mbna haonekani hivyo asiwadharau wa level yake...
Sawasawa kabisa ✔️Mkumbushe Mwanao Kicheko Na kilio Ni Ndugu
SawaMkumbushe mwanao kuwa si kila anachokisikia ana haki ya kukisimulia,vingine avisikilize na ajifanye kama hajasikia.
NatamkumbushaMkumbushe mwanao kuwa si kila anachokisikia ana haki ya kukisimulia,vingine avisikilize na ajifanye kama hajasikia.
Sawasawa ✔️Mkumbushe mwanao kuwa hata waliokufa leo waliamini kifo chao kipo mbali. Msisitize kuwa asisahau kumshukuru Mungu kwa kila nafasi ya uhai anayoipata….
Nakubaliana na hiliKuondoa Sumu Mwilini
Tangawizi husaidia kupunguza kichefuchefu na kutapika. Pia huwasadia sana wale watu waliotumia sana madawa na kuwa na sumu nyingi mwilini.
Hili pia sawaKuyeyusha Mafuta
Tangawizi husaidia kupunguza Kuganda kwa mafuta mwilini ambayo yana madhara makubwa mwilini. Hasa magonjwa ya kiharusi na shinikizo la damu.
Hili pia limoHamu Ya Kula (appetizer)
Huongeza hamu ya kula chakula. Kwa wale wenye mfumo mbaya wa umeng’enyaji wa chakula wanashauriwa kutumia tangawizi ili kupata mfumo mzuri wa mmeng’enyo wa chakula.
👍👍Hamu Ya Kula (appetizer)
Huongeza hamu ya kula chakula. Kwa wale wenye mfumo mbaya wa umeng’enyaji wa chakula wanashauriwa kutumia tangawizi ili kupata mfumo mzuri wa mmeng’enyo wa chakula.
Anajua hiliMkumbushe mwanao utajiri Unaisha ila Umasikini unadumu