myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SahihiMkumbushe mwanao kuwa Aige namna ya kutafuta PESA ila sio Matumizi.
SahihiMkumbushe mwanao kuwa Aige namna ya kutafuta PESA ila sio Matumizi.
SawaMkumbushe Mwanao Kuwa Kujifunza Kwa Waliofanikiwa Ni Bora Zaidi Kuliko Kushindana Nao
📌📌Mkumbushe mwanao kuwa akipata nafasi kusaidiwa na watu basi na yeye ajitahidi sana asiwe Mzigo kwao tena
✅️✅️Mkumbushe Mwanao kuwa Asiitumie Rula ya Mwenzake kupima maendeleo yake
✔️✔️✔️ASIMDHARAU ASIYEMJUA,ajiheshimu ili na yeye aheshimike.,ATAFUTE SANA PESA ili thamani yake ISISHUKE.
AiseeMkumbushe mwanao kuwa,
Hata yule jogoo aliyetenda wema kwa kuwaamsha wenyeji, alichinjwa baada tu ya wageni kufika.
✅️✅️Mkumbushe mwanao kuwa hapa duniani watu wanaweza kutoa uhai wa mtu kwaajili ya heshima, Kwahiyo kamwe asipendelee sana kujitia mjuaji hata kwa yale anayoyajua.
✅️✅️✅️Mkumbushe mwanao kuwa hapa duniani watu wanaweza kutoa uhai wa mtu kwaajili ya heshima, Kwahiyo kamwe asipendelee sana kujitia mjuaji hata kwa yale anayoyajua.
SawaMkumbushe Mwanao Kuwa Maisha Ni Kama Baiskeli ili Yasonge Lazima Andelee Kunyonga.
SawasawaMkumbushe mwanao kuwa, “Waliomtia nabii Yussuf kisimani ni ndugu zake wa damu na waliokuja kumuokoa ni wapita njia”.
SawaMkumbushe mwanao Kichaa anachekesha kama hatoki kwenye familia yenu
SawaMkumbushe Mwanao kuwa kuna marafiki watamuhitaji pale tu atakapokuwa na wanachokiitaji kikiisha nao wanapotea
SawaMkumbushe mwanao kuwa rasilimali bila maarifa si chochote,na ujuzi bila matumizi ni matumizi mabaya ya ujuzi.
✔️✔️✔️Mkumbushe mwanao Kichaa anachekesha kama hatoki kwenye familia yenu
📌📌📌Mkumbushe mwanao kuwa Furaha ya kweli katika maisha ni pale tu anapokuwa na Amani ya Moyo bila kujali hali ya maisha aliyonayo
SawasawaMkumbushe mwanao kuwa Furaha ya kweli katika maisha ni pale tu anapokuwa na Amani ya Moyo bila kujali hali ya maisha aliyonayo
SawasawaMkumbushe mwanao kuwa dola moja iliyovujiwa jasho ina thamani kubwa kuliko dola tano za kuokota.
SawasawaAnza kujiamini kwenye kila kitu unachokifanya, hapo ndipo siri ya mafanikio ilipo
SawasawaUsifanye kilicho Nje ya Uwezo Wako ili Upendwe, Jitahidi Usiwe Mwema Sana Kwao,
Hata chumvi Ni Muhimu Kwenye Mboga ila
Ikizidi Sana ltaharibu Ladha ya Mboga
SawasawaWatu Hawakumbuki Kile Ulichowafanyia,Bali Wanakumbuka Kile ambacho Hukuweza Kufanya