myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawwMkumbushe mwanao wa karibu hii....
''Jitahidi sana kuacha maringo maana hakuna aijuae kesho yake,wasaidie hasa watu wenye uhitaji maana unavyomiliki nivya duniani huzikwi ukiwa navyo''
Sawa piaMkumbushe mwanao kwamba, kusoma ni kupambana dhidi ya ujinga na kujenga akili. Ila akumbuke kwamba akimaliza kusoma kuna vita ya pili ambayo ni dhidi ya umaskini
Hili sahihiMkumbushe mwanao wa karibu hii....
''Jitahidi sana kuacha maringo maana hakuna aijuae kesho yake,wasaidie hasa watu wenye uhitaji maana unavyomiliki nivya duniani huzikwi ukiwa navyo''
Mkumbushe mwanao katika kitabu cha mafanikio kuna kurasa za MATESO,CHUKI,KUKATALIWA,KUKATISHWA TAMAAna kurasa nyengine sio za kusoma kwa sautiUjumbe muhimu
SawasawaMkumbushe mwanao kuwa Mshahara haumfanyi mtu kuwa tajiri bali humpa muhusika fursa ya kushughulikia matatizo na mahitaji yake, asijisahau
InawezekanaMkumbushe mwanao kwamba hakuna aliyefanikiwa Bila Ya kuwa na historia ya maumivu. Kudhalaulika Kunyanyasika Hivyo Vyote Ni Vionjo Vya Mafanikio.
SawasawaMkumbushe mwanao kuwa kuna kipindi inabidi Akose ili Apate.
📌📌Mkumbushe Mwanao Kuwa Shule Pekee Itakayo mfundisha Nidhamu Ya Hela Ni Majukumu Pekee
Ujumbe wa maanaMkumbushe mwanao kwamba, kusoma ni kupambana dhidi ya ujinga na kujenga akili. Ila akumbuke kwamba akimaliza kusoma kuna vita ya pili ambayo ni dhidi ya umaskini
Sahihi kabisaMkumbushe mwanao kwamba shule ndio msingi wa maisha yake.
Uko SawasawaASIMDHARAU ASIYEMJUA,ajiheshimu ili na yeye aheshimike.,ATAFUTE SANA PESA ili thamani yake ISISHUKE.
SawasawaMkumbushe Mwanao Kuwa Maisha Ni Kama Baiskeli ili Yasonge Lazima Andelee Kunyonga.
✔️✔️ASIMDHARAU ASIYEMJUA,ajiheshimu ili na yeye aheshimike.,ATAFUTE SANA PESA ili thamani yake ISISHUKE.
SawasawaMkumbushe mwanao kuwa hapa duniani watu wanaweza kutoa uhai wa mtu kwaajili ya heshima, Kwahiyo kamwe asipendelee sana kujitia mjuaji hata kwa yale anayoyajua.
Sawasawa ✔️ ✔️Mkumbushe mwanao kuwa hapa duniani watu wanaweza kutoa uhai wa mtu kwaajili ya heshima, Kwahiyo kamwe asipendelee sana kujitia mjuaji hata kwa yale anayoyajua.
Mkumbushe mwanao asisahau kuishi pale anapopata nafasi, maana hatujaumbwa kuishi milele!!
SawaMkubushe mwanao Mungu hakupi unachotaka bali unachostahili.
SawaMkumbushe mwanao tuu kwamba sio kila masikini ni mvivu na sio kila tajiri anafanya kazi kwa bidii maisha yana siri kubwa sana
SawasawaMkumbushe mwanao tumefanyiwa mazuri na watu wanaoitwa wabaya na tumefanyiwa mabaya na watu tunaowaita wazuri.. mwambie aishi na kila mtu kwa akili