myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✅️✅️✅️Ukweli wa maisha ni kwamba mafanikio hayapimwi kwa kasi ya mwendo wako, bali kwa uthabiti wako wa kusimama unapokumbana na dhoruba, na ujasiri wa kuendelea hata njia inapokuwa ngumu
SawaHasara ni mojawapo ya kutafuta mafanikio ni kupoteza Muda katika kuogopa watu watakuonaje..
SawaHasara ni mojawapo ya kutafuta mafanikio ni kupoteza Muda katika kuogopa watu watakuonaje..
📌📌📌kila hali katika maisha ni ya muda, hivyo maisha yanapokuwa mazuri hakikisha unayafurahia na kuyapokea kikamilifu. Na wakati maisha sio mazuri, kumbuka kuwa hayatadumu milele na siku bora ziko njiani
SawaUsiogope kuanza upya, mara hii unaanza na uzoefu.....
Sawasawakila unalo lipitia katika maisha yako Lifanye kuwa ni funzo kwako na ujifunze jinsi ya kulikabili na kulishinda na sio kuliogopa na kukata tamaa, kikubwa muombe mungu usijaribu kukata tamaa.
👍👍👍Jaribu tena, bisha milango mingi zaidi, tafuta kwa weng zaidi, omba kwa wengi zaidi milango itafunguliwa na utapata bora zaidi na yupo atakaekupa kwa kadiri ya kiu yako
SawaUkikubali kupoteza heshima ili upate kitu, utaishia kukosa vyote
SawasawaJifundishe namna ya kuhumili maumivu maana walimwengu hawana huruma usije kudhalilika mbele ya kadamnasi ya watu.
👍👍👍kila hali katika maisha ni ya muda, hivyo maisha yanapokuwa mazuri hakikisha unayafurahia na kuyapokea kikamilifu. Na wakati maisha sio mazuri, kumbuka kuwa hayatadumu milele na siku bora ziko njiani
SawaJifundishe namna ya kuhumili maumivu maana walimwengu hawana huruma usije kudhalilika mbele ya kadamnasi ya watu.