Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kulinda amani yako kunamaanisha kutanguliza ustawi wako wa kihisia kuweka mipaka na kukusudia kuhusu nani na nini unaruhusu katika maisha yako. inamaanisha kutambua kwamba wakati, nguvu, na mali zako ni za thamani na zinapaswa kuwekezwa katika vitu vinavyorutubisha akili na mwili
 
Jitahidi kuwa na mawazo chanya kwani husaidia mtu kujikubali na kuona thamani yake. Kujithamini, mtu hujihisi kuwa na uwezo wa kushinda changamoto za maisha, jambo linalosaidia kuimarisha afya ya akili.
 
Kila mtu analo swali linalosumbua akili yake, nafsi yake na kuyapelekesha maisha yake. Hivyo, tabia za watu, matendo yao na harakati zao katika maisha ni katika kutafuta jawabu ama kulijibu swali hilo. Kama wewe huna jawabu lake, usiwe kikwazo kwake, mpishe akalitafute kwingine.
 
Ukitaka kuishi kwa mafanikio na furaha basi zingatia mambo haya

1.KUWA MTU WA KUJIHESABIA BARAKA NA MAFANIKIO JAPO NI KIDOGO: Furahia ulichonacho na wala usiwe mtu wa kujilinganisha na maisha ya wengine, kwasababu kila mtu ana wakati wake, mazingira yake na aina yake ya maisha
 
KUWA MUWAJIBIKAJI NA USIWE MLALAMIKAJI. Kumbuka maisha yako ni jukumu lako, wewe mwenyewe ndio unawajibu wa kujipa furaha, kupuuzia yasiyokuwa na faida kwako, kujisaidia mwenyewe unapokuwa na changamoto. Usiyakimbie makosa yako Bali wajibika kwa matokeo yake na liwe funzo kwako
 
.HAKUNA KINACHOTOKEA KWENYEMAISHA YAKO BILA YA SABABU. Unapopatwa na changamoto ya maisha kaa chini na anza kuandika sababu aidha kukukumbusha kurudi kwa mungu wako, kukuonesha hali halisi ya watu unaoishi nao, kukuimarisha kiakili na kihisia au kukuandaa na maisha ya baadae
 
Back
Top Bottom