sio kila aliye mbele yako amekutangulia unapokwenda na sio kila anayekuja kwa kasi nyuma yako anakukimbiza... katika barabara ya maisha, njia ni moja lakini kila mtu ana safari yake... usije kuacha safari yako ukakimbizana na za wenzako, UTAPOTEA...!!