Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
ISHI NDANI YA UWEZO WAKO: unachokipata kitunze kwa kuweka Akiba na kikuze kwa kufanya biashara na uwekezaji. Tumia fedha yako kwa nidhamu rahisisha mahitaji yako yawe ya kawaida, epuka kuendana na fashion,epuka kuwanunulia watu vitu, epuka kushindana kwenye matumizi utajuta