Kila mtu analo swali linalosumbua akili yake, nafsi yake na kuyapelekesha maisha yake. Hivyo, tabia za watu, matendo yao na harakati zao katika maisha ni katika kutafuta jawabu ama kulijibu swali hilo. Kama wewe huna jawabu lake, usiwe kikwazo kwake, mpishe akalitafute kwingine.