KUWA MUAMINIFU NA MUWAZI: kuwa muaminifu kwenye fedha ukipewa amana usiidhulumu, kuwa muaminifu kwenye mahusiano ukipendwa na wewe onyesha upendo, ukipewa kazi usiibe, ukipewa uongozi usiwe mbadhilifu na mkandamizaji wa haki za watu, ukipewa nguvu usionee wanyonge bali walinde