myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
ππMaisha ni kama mwamba: ni kazi yako kuyachonga kuwa kile unachotaka kuwa. Haijalishi umepokea mwamba wa aina gani, muhimu ni jinsi unavyouchonga."
SawaBahati mbaya Sana hofu huwa inaondolewa kwa maneno ya uongo!!so kama unahofu tafuta ushauri kwa mtu muongo
DuhBahati mbaya Sana hofu huwa inaondolewa kwa maneno ya uongo!!so kama unahofu tafuta ushauri kwa mtu muongo
ππSalah wraps the ball into the top corner of the net! Bournemouth 0-2 Liverpool.
View attachment 3221556
πππBahati mbaya Sana hofu huwa inaondolewa kwa maneno ya uongo!!so kama unahofu tafuta ushauri kwa mtu muongo
AiseeSalah wraps the ball into the top corner of the net! Bournemouth 0-2 Liverpool.
View attachment 3221556
Jitambue thamani yako na utajiri wa talanta zako. Dunia inakusubiri kuchangia upekee wako. Anza sasa
πππKesho yetu inategemeana na kile unacho kifanya sasa jitambue chukua hatua siku hazirudi nyuma
πππHuu Mwaka Ondoa aibu kabisa, Hakikisha unakua mtu ulioonyooka, Usiogope lawama, Hizi lawama zipo kwa ajili ya watu na watu ndio sisi, Usikopeshe mtu hela. Siku ukidai chako Wewe ndio unageuka Mbaya/Adui.
πππKesho yetu inategemeana na kile unacho kifanya sasa jitambue chukua hatua siku hazirudi nyuma
ππKesho yetu inategemeana na kile unacho kifanya sasa jitambue chukua hatua siku hazirudi nyuma
πππSiku zote kesho yako itategemeana na wewe halisi wa Leo na sasa....Usitegemee miujiza kama hautatumia muda mwingi kuijenga kesho yako kutokana na tabia zako za hivi Leo. Jitambue na jitathmini mapema ili usije ukamtukana kesho usiyemjua...