myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✅️✅️✅️Siku zote kesho yako itategemeana na wewe halisi wa Leo na sasa....Usitegemee miujiza kama hautatumia muda mwingi kuijenga kesho yako kutokana na tabia zako za hivi Leo. Jitambue na jitathmini mapema ili usije ukamtukana kesho usiyemjua...
SawaHuu Mwaka Ondoa aibu kabisa, Hakikisha unakua mtu ulioonyooka, Usiogope lawama, Hizi lawama zipo kwa ajili ya watu na watu ndio sisi, Usikopeshe mtu hela. Siku ukidai chako Wewe ndio unageuka Mbaya/Adui.
✅️✅️✅️Siku zote kesho yako itategemeana na wewe halisi wa Leo na sasa....Usitegemee miujiza kama hautatumia muda mwingi kuijenga kesho yako kutokana na tabia zako za hivi Leo. Jitambue na jitathmini mapema ili usije ukamtukana kesho usiyemjua...
👍👍👍Siku zote kesho yako itategemeana na wewe halisi wa Leo na sasa....Usitegemee miujiza kama hautatumia muda mwingi kuijenga kesho yako kutokana na tabia zako za hivi Leo. Jitambue na jitathmini mapema ili usije ukamtukana kesho usiyemjua...
🤣🤣Ukiona Una Maadui Wengi Jua Afya Yako Ya Akili Iko Timamu, Chizi Hachukiwi
Jitambue thamani yako na utajiri wa talanta zako. Dunia inakusubiri kuchangia upekee wako. Anza sasa
✅️✅️✅️Duniani, kuna watu wengi Wana matatizo Sana kila siku... Wengine kiuchumi, kifamilia, kiafya na mengine mengi zaidi... Sasa ukishindwa kuwa faraja na suluhu kwao basi usiwe kichochezi cha maumivu kwao...Jitambue mapema na usiwaumize zaidi
✅️✅️✅️Dumisha Mahusiano Mazuri – Kuwa na uhusiano mzuri na familia na marafiki huongeza furaha, kupunguza msongo wa mawazo, na kusaidia afya ya akili.
👍👍👍Duniani, kuna watu wengi Wana matatizo Sana kila siku... Wengine kiuchumi, kifamilia, kiafya na mengine mengi zaidi... Sasa ukishindwa kuwa faraja na suluhu kwao basi usiwe kichochezi cha maumivu kwao...Jitambue mapema na usiwaumize zaidi
✅️✅️✅️Dumisha Mahusiano Mazuri – Kuwa na uhusiano mzuri na familia na marafiki huongeza furaha, kupunguza msongo wa mawazo, na kusaidia afya ya akili.
👍👍👍Mwanzo wa mwaka wengi hupitia hali ngumu ni muhimu kukumbuka msingi wa Afya ya Akili iliyo bora itakusaidia kukuepusha na athari za msongo wa mawazo.
👍👍👍Mwanzo wa mwaka wengi hupitia hali ngumu ni muhimu kukumbuka msingi wa Afya ya Akili iliyo bora itakusaidia kukuepusha na athari za msongo wa mawazo.
SawaDuniani, kuna watu wengi Wana matatizo Sana kila siku... Wengine kiuchumi, kifamilia, kiafya na mengine mengi zaidi... Sasa ukishindwa kuwa faraja na suluhu kwao basi usiwe kichochezi cha maumivu kwao...Jitambue mapema na usiwaumize zaidi
AiseeMwanzo wa mwaka wengi hupitia hali ngumu ni muhimu kukumbuka msingi wa Afya ya Akili iliyo bora itakusaidia kukuepusha na athari za msongo wa mawazo.
Duniani, kuna watu wengi Wana matatizo Sana kila siku... Wengine kiuchumi, kifamilia, kiafya na mengine mengi zaidi... Sasa ukishindwa kuwa faraja na suluhu kwao basi usiwe kichochezi cha maumivu kwao...Jitambue mapema na usiwaumize zaidi
Kuna umri unafika unaelewa kwamba hakuna mtu anayekudai chochote maisha yako ni jukumu lako. Unapambana na changamoto zako kwa utulivu, Huchukui chochote kibinafsi Afya yako ya akili inakuwa thamani isiyo na kipimo kuliko maoni ya wengine.
SawaUkiona Una Maadui Wengi Jua Afya Yako Ya Akili Iko Timamu, Chizi Hachukiwi
✅️✅️✅️Ukiona Una Maadui Wengi Jua Afya Yako Ya Akili Iko Timamu, Chizi Hachukiwi
👍👍👍Kuna umri unafika unaelewa kwamba hakuna mtu anayekudai chochote maisha yako ni jukumu lako. Unapambana na changamoto zako kwa utulivu, Huchukui chochote kibinafsi Afya yako ya akili inakuwa thamani isiyo na kipimo kuliko maoni ya wengine.