myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
ππGiza, machozi na upweke unaopitia. Jifunze kuvikubali na kuvifurahia pia. Ndiyo vimekufanya na kukukomaza kuwa wewe ulivyo mpaka leo. Wakati mwingine changamoto tunazopitia ndizo zinatukomaza kifikra na kututufundisha kujua nguvu kubwa iliyojificha ndani yetu.
πππGiza, machozi na upweke unaopitia. Jifunze kuvikubali na kuvifurahia pia. Ndiyo vimekufanya na kukukomaza kuwa wewe ulivyo mpaka leo. Wakati mwingine changamoto tunazopitia ndizo zinatukomaza kifikra na kututufundisha kujua nguvu kubwa iliyojificha ndani yetu.
AiseeKamwe usijikatie tamaa. Kukata tamaa kutakufanya ukose matumaini ya kuzifikia ndoto zako pamoja na baraka, neema na rehema ambazo Mungu amekuandalia. Muamini Yeye na mambo yote yatakuwa sawa upande wako. Tambua, hata dhoruba hupotea na kuja mawingu mazuri.
πππGiza, machozi na upweke unaopitia. Jifunze kuvikubali na kuvifurahia pia. Ndiyo vimekufanya na kukukomaza kuwa wewe ulivyo mpaka leo. Wakati mwingine changamoto tunazopitia ndizo zinatukomaza kifikra na kututufundisha kujua nguvu kubwa iliyojificha ndani yetu.
ππMaisha ni kama tanuru la moto, unaweza kukumbana na giza ndani yake, lakini ukaendelea kusonga mbele ili kuupata mwanga nje yake. Kila tanuru la moto lina mwisho wake, pindi ukijitafuta mwenyewe kwenye giza. Kumbuka giza ni la muda tu. Na siku moja jua lita ng'ara tu juu yako.
βοΈβοΈβοΈMaisha ni kama tanuru la moto, unaweza kukumbana na giza ndani yake, lakini ukaendelea kusonga mbele ili kuupata mwanga nje yake. Kila tanuru la moto lina mwisho wake, pindi ukijitafuta mwenyewe kwenye giza. Kumbuka giza ni la muda tu. Na siku moja jua lita ng'ara tu juu yako.
πππMaisha ni kama tanuru la moto, unaweza kukumbana na giza ndani yake, lakini ukaendelea kusonga mbele ili kuupata mwanga nje yake. Kila tanuru la moto lina mwisho wake, pindi ukijitafuta mwenyewe kwenye giza. Kumbuka giza ni la muda tu. Na siku moja jua lita ng'ara tu juu yako.
NakubalianaJifunze kuyaachia mambo ambayo hayaleti matokeo kwako. Hayo ndio maisha kwa uhalisia. Endelea kusonga mbele. Hautashinda hizi mbio za maisha kama utaangalia nyuma. Makosa umeyoyafanya hayakuelezei ubora wako leo. Kuwa chanya kwa kila hatua na mambo yatakuwa mazuri na bora mbeleni
SawasawaMafanikio yanaanzia hapo hapo ulipoβ¦ hakuna siku utaamka umefanikiwaβ¦
SawaMafanikio yanaanzia hapo hapo ulipoβ¦ hakuna siku utaamka umefanikiwaβ¦
SawaJifunze kuyaachia mambo ambayo hayaleti matokeo kwako. Hayo ndio maisha kwa uhalisia. Endelea kusonga mbele. Hautashinda hizi mbio za maisha kama utaangalia nyuma. Makosa umeyoyafanya hayakuelezei ubora wako leo. Kuwa chanya kwa kila hatua na mambo yatakuwa mazuri na bora mbeleni

β οΈβ οΈβ οΈJifunze kuyaachia mambo ambayo hayaleti matokeo kwako. Hayo ndio maisha kwa uhalisia. Endelea kusonga mbele. Hautashinda hizi mbio za maisha kama utaangalia nyuma. Makosa umeyoyafanya hayakuelezei ubora wako leo. Kuwa chanya kwa kila hatua na mambo yatakuwa mazuri na bora mbeleni

Haijalishi mangapi unapitia maishani. Mungu anaweza kuleta baraka na neema kubwa hata wakati ambapo unanyakati mbaya. Unatakiwa kuamini, kutumaini na kujua hakuna linaloshindikana mbele Yake. Usiogope na usichoke kumuomba, ataziongoza hatua zako na Atazifanya imara. Utashinda.
AiseeUnaweza usijue kitu ambacho kipo mbele yako, lakini angalau unamjua muongozaji. Muamini Yeye na usonge mbele ukiwa na imani thabiti. Tambua, wakati mwingine hatuujui ukurasa unaofuata kwenye kitabu, lakini furaha yetu nikumjua muhandishi wa kitabu. Usipoteze imani na tumaini.
β οΈβ οΈβ οΈUnaweza usijue kitu ambacho kipo mbele yako, lakini angalau unamjua muongozaji. Muamini Yeye na usonge mbele ukiwa na imani thabiti. Tambua, wakati mwingine hatuujui ukurasa unaofuata kwenye kitabu, lakini furaha yetu nikumjua muhandishi wa kitabu. Usipoteze imani na tumaini.