myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✅️✅️✅️Usiruhusu furaha yako ikufanye kutangaza mipango yako katika hatua za kwanza. Jifunze kuwa msiri mpaka pale utakapo shinda. Hata kama umefanikiwa, usiongee sana mbinu zako ulizotumia. Tambua, machache wanayojua kuhusu wewe, ndio utakavyo kuwa na amani zaidi kwenye maisha yako.
Muhimu sanaTazama nyuma na umshukuru Mungu. Tazama mbele na umuamini Yeye. Hiyo ndio njia bora ya kuishi katika ulimwengu huu ambao umejaa changamoto nyingi na kila aina ya vikwazo. Wakati mwingine hauwezi kukua na kujua ubora wako bila kupitia kwenye moto mkali. Mafanikio hayana mipaka.
SawaUsiruhusu furaha yako ikufanye kutangaza mipango yako katika hatua za kwanza. Jifunze kuwa msiri mpaka pale utakapo shinda. Hata kama umefanikiwa, usiongee sana mbinu zako ulizotumia. Tambua, machache wanayojua kuhusu wewe, ndio utakavyo kuwa na amani zaidi kwenye maisha yako.
✔️✔️✔️Tazama nyuma na umshukuru Mungu. Tazama mbele na umuamini Yeye. Hiyo ndio njia bora ya kuishi katika ulimwengu huu ambao umejaa changamoto nyingi na kila aina ya vikwazo. Wakati mwingine hauwezi kukua na kujua ubora wako bila kupitia kwenye moto mkali. Mafanikio hayana mipaka.
📌📌Tazama nyuma na umshukuru Mungu. Tazama mbele na umuamini Yeye. Hiyo ndio njia bora ya kuishi katika ulimwengu huu ambao umejaa changamoto nyingi na kila aina ya vikwazo. Wakati mwingine hauwezi kukua na kujua ubora wako bila kupitia kwenye moto mkali. Mafanikio hayana mipaka.
👍👍Usiruhusu furaha yako ikufanye kutangaza mipango yako katika hatua za kwanza. Jifunze kuwa msiri mpaka pale utakapo shinda. Hata kama umefanikiwa, usiongee sana mbinu zako ulizotumia. Tambua, machache wanayojua kuhusu wewe, ndio utakavyo kuwa na amani zaidi kwenye maisha yako.
👍👍Tazama nyuma na umshukuru Mungu. Tazama mbele na umuamini Yeye. Hiyo ndio njia bora ya kuishi katika ulimwengu huu ambao umejaa changamoto nyingi na kila aina ya vikwazo. Wakati mwingine hauwezi kukua na kujua ubora wako bila kupitia kwenye moto mkali. Mafanikio hayana mipaka.
👍👍👍Tazama nyuma na umshukuru Mungu. Tazama mbele na umuamini Yeye. Hiyo ndio njia bora ya kuishi katika ulimwengu huu ambao umejaa changamoto nyingi na kila aina ya vikwazo. Wakati mwingine hauwezi kukua na kujua ubora wako bila kupitia kwenye moto mkali. Mafanikio hayana mipaka.
UkweliUsiidogoshe thamani yako na uwezo wako. Changamoto zitakufanya uzione ndoto zako ni kubwa kuzifanikisha. Unauwezo wa pekee Mungu ameuweka ndani yako ili kufikia malengo yako. Unatakiwa kujiamini, kutokata tamaa na kujikubali. Licha ya vikwazo vyote unaweza kuwa toleo lako bora.
👍👍👍Kitu pekee ulichonacho ambacho hakuna mwingine anacho ni: Sauti yako, akili yako, maisha yako, uwezo wako na malengo yako. Hivyo basi ni vyema kuishi maisha ambayo wewe pekee unaweza kuishi
Sahihi kabisaUsiidogoshe thamani yako na uwezo wako. Changamoto zitakufanya uzione ndoto zako ni kubwa kuzifanikisha. Unauwezo wa pekee Mungu ameuweka ndani yako ili kufikia malengo yako. Unatakiwa kujiamini, kutokata tamaa na kujikubali. Licha ya vikwazo vyote unaweza kuwa toleo lako bora.
👍👍Hata kama mipango yako yote itaanguka na milango yako yote itaonekana kufungwa. Kamwe usikufuru. Kaa chini, tulia, piga goti na kisha muombe Mungu, atakupatia faraja. Tambua, atakuonesha njia ya kupita na kukurejeshea tumaini lako tena lililopotea hapo mwanzo.
SawaHata kama mipango yako yote itaanguka na milango yako yote itaonekana kufungwa. Kamwe usikufuru. Kaa chini, tulia, piga goti na kisha muombe Mungu, atakupatia faraja. Tambua, atakuonesha njia ya kupita na kukurejeshea tumaini lako tena lililopotea hapo mwanzo
👍👍Wakati mwingine jifunze na penda kutembea kwenye mvua kwasababu hakuna hata mmoja atakae ona maumivu na machozi yako.
HayaNjia nzuri ya kuendelea kusubiri neema yako na baraka zako ni kuendelea kumuomba mungu akupe roho ya ujasiri ya kupambana na moyo ya kutokata tamaa
SawasawaNjia nzuri ya kuendelea kusubiri neema yako na baraka zako ni kuendelea kumuomba mungu akupe roho ya ujasiri ya kupambana na moyo ya kutokata tamaa
NakubalianaPindi moyo wako ukiwa mzito na mzigo na fikra zako hazioni tena njia mbele, ndipo unatakiwa kumuamini Mungu na kumtegemea yeye zaidi. Usifurahie mawazo hasi kutokana na majaribu unayopitia. Kuwa jasiri, najua sio rahisi ila unaweza kufanikiwa. Kuwa mvumilivu na utapata njia tena.
SawaNjia nzuri ya kuendelea kusubiri neema yako na baraka zako ni kuendelea kumuomba mungu akupe roho ya ujasiri ya kupambana na moyo ya kutokata tamaa
Sawa piaPindi moyo wako ukiwa mzito na mzigo na fikra zako hazioni tena njia mbele, ndipo unatakiwa kumuamini Mungu na kumtegemea yeye zaidi. Usifurahie mawazo hasi kutokana na majaribu unayopitia. Kuwa jasiri, najua sio rahisi ila unaweza kufanikiwa. Kuwa mvumilivu na utapata njia tena.
SawaPindi moyo wako ukiwa mzito na mzigo na fikra zako hazioni tena njia mbele, ndipo unatakiwa kumuamini Mungu na kumtegemea yeye zaidi. Usifurahie mawazo hasi kutokana na majaribu unayopitia. Kuwa jasiri, najua sio rahisi ila unaweza kufanikiwa. Kuwa mvumilivu na utapata njia tena.