moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
SawaPamoja na juhudi zako kwenye kutafa maisha usisahau yakuwa ni Mungu pekee ndiye anaye ruhusu mabadiliko yakupate, Hivyo usi msahau kwenye mahangaiko yako.
Usi pende kujilinganisha na wengine, muda mwingine ulicho kibeba wewe ni kikubwa kuliko wengine. Muda, maumivu yako na kuchelewa kwako kupata kitu fulani ni kwa sababu ya ukubwa na upekee wa kila kitu, tulia kila kitu na majira yake!
Kioo kinachomsaidia dereva kutazama mbele ni kikubwa kuliko vioo viwili vya pembeni vinavyomsaidia kuangalia nyuma..Tutumie nguvu nyingi kuangalia tunakokwenda kuliko tulikotokaNyuma pangekuwa muhimu Mungu angetuwekea macho kisogoni

Kama unafanya jambo lolote kuboresha maisha yako.. jivunie, haijalishi uko katika hatua gani.