myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Jifunze Kushirikiana na Vijana wenzako katika kufanya mambo mbalimbali, katika karne ya leo Vijana wengi tumekuwa wabinafsi sana,tunaamini kwamba tunaweza kufanya vitu peke yetu,kitu ambacho si sahihi. Sisi ni kama viungo katika mwili kila mtu ana uwezo tofauti na mwingine..
β οΈβ οΈβ οΈJifunze Kushirikiana na Vijana wenzako katika kufanya mambo mbalimbali, katika karne ya leo Vijana wengi tumekuwa wabinafsi sana,tunaamini kwamba tunaweza kufanya vitu peke yetu,kitu ambacho si sahihi. Sisi ni kama viungo katika mwili kila mtu ana uwezo tofauti na mwingine..