myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ishi kwa makini sana na mtu mwenye siri zako. Rafiki akigeuka kuwa adui, atakumaliza. Adui mwenye siri zako ni sawa na jeshi linalofahamu mbinu na silaha zote za upande wa pili. Kijeshi, atakushinda na kukuteketeza. Handle the enemy who holds your secrets with great care

SawasawaIshi kwa makini sana na mtu mwenye siri zako. Rafiki akigeuka kuwa adui, atakumaliza. Adui mwenye siri zako ni sawa na jeshi linalofahamu mbinu na silaha zote za upande wa pili. Kijeshi, atakushinda na kukuteketeza. Handle the enemy who holds your secrets with great care
Ujumbe SafiiiiiDebe tupu hupiga kelele sana. Aliyesema elimu ni ufunguo wa maisha aliona mbali sana. Bila elimu utabaki kuwa kama debe tupu. Kila upatapo nafasi na fursa ya kuelimika, husiichezee. Ukitaka kujua tofauti ya mtu mwenye elimu na asiye na elimu, TIZAMA KELELE ZAKE"
👍👍👍Si kila unayemuona timamu ni timamu. Wengi wanaonekakana timamu ni waathirika wa afya akili kuliko wanaokotoa makopo njiani. Tujenge tabia ya kuangalia afya zetu kwa kina sana"
📌📌📌Mwamvuli hauwezi kusimamisha mvua kunyesha, bali unatusaidia kujikinga na mvua. Ujasiri hauwezi kukupa mafanikio, bali utakupa nguvu ya kupambana na changamoto za miasha
IMARAMaisha ni mchakato wenye sura mbili, furaha na huzuni. Chochote kikufikacho na mchakato kichukulie kuwa Baraka kwako. Kuwa imara na wakati mwingine jiweke katika hali ya kuwa uko sawa. Kumbuka, kuta imara hutikisika, ila hazivunjiki na kuanguka. Wewe in IMARA, SIMAMA
Mwamvuli hauwezi kusimamisha mvua kunyesha, bali unatusaidia kujikinga na mvua. Ujasiri hauwezi kukupa mafanikio, bali utakupa nguvu ya kupambana na changamoto za miasha
Mwamvuli hauwezi kusimamisha mvua kunyesha, bali unatusaidia kujikinga na mvua. Ujasiri hauwezi kukupa mafanikio, bali utakupa nguvu ya kupambana na changamoto za miasha
Maisha ni mchakato wenye sura mbili, furaha na huzuni. Chochote kikufikacho na mchakato kichukulie kuwa Baraka kwako. Kuwa imara na wakati mwingine jiweke katika hali ya kuwa uko sawa. Kumbuka, kuta imara hutikisika, ila hazivunjiki na kuanguka. Wewe in IMARA, SIMAMA

Kama hukutokea kwenye familia tajiri, basi hakikisha familia yako inakuwa tajiri kupitia wewe"
Malengo hukuruhusu kudhibiti mwelekeo wa mabadiliko kwa niaba yako
Maisha yako hayawi bora kwa bahati mbaya, yanakuwa bora kwa mabadiliko
✔️✔️📌Thamani ya mtu hujulikana katika mabadiliko ya maisha
Ruhusu Ukuaji, Pokea Mabadiliko Using’ang’anie Sehemu Moja, Kuna Uvumilivu na Kukosa Maarifa
Ruhusu Ukuaji, Pokea Mabadiliko Using’ang’anie Sehemu Moja, Kuna Uvumilivu na Kukosa Maarifa
Ukomavu wa kifikra ni uwezo wa kuona mbali, kukubali mabadiliko, na kuwa na ufanisi bila kuwa na hofu ya kushindwa
Mungu anapokuinulia watu kwaajili ya mpango wake juu yako, watu hao watakupenda upendo wa kweli usio na sababu!! Omba Mungu akuinulie watu kwa ajili yako!!