myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Bila Mungu huwezi kufika uendako na hata ukifosi utalipia gharama kubwa mno ya kudhoofisha afya yako au kuua wengine . maisha yamejaa hila na mitego mingii ili tu kumnasa mwanadamu, na kwa akili yako ndogo hutoweza peke yako bila Mungu kwani mambo mengi yamefichwa ili usiyajue
👍👍Bila Mungu huwezi kufika uendako na hata ukifosi utalipia gharama kubwa mno ya kudhoofisha afya yako au kuua wengine . maisha yamejaa hila na mitego mingii ili tu kumnasa mwanadamu, na kwa akili yako ndogo hutoweza peke yako bila Mungu kwani mambo mengi yamefichwa ili usiyajue
KweliUkipata ujue kuna watu wanacho zaidi yako na ukikosa ujue kuna watu wamekosa zaidi yako. Kuwa mnyenyekevu, shukuru
Katika maisha yaliyojaa mafumbo na mitihani mingi , Mungu alimjaalia kila mja na talanta yake , ndio maana wengine walikua hodari kufaulu mitihani ya darasani na wengine wakawa hodari kufaulu mitihani ya maisha , hivyo usichoke kujitafuta ili ujue utaalaamu wako uko eneo gani
Mungu ni kila kitu..Bila Mungu huwezi kufika uendako na hata ukifosi utalipia gharama kubwa mno ya kudhoofisha afya yako au kuua wengine . maisha yamejaa hila na mitego mingii ili tu kumnasa mwanadamu, na kwa akili yako ndogo hutoweza peke yako bila Mungu kwani mambo mengi yamefichwa ili usiyajue
📌📌Ukipata ujue kuna watu wanacho zaidi yako na ukikosa ujue kuna watu wamekosa zaidi yako. Kuwa mnyenyekevu, shukuru
Katika maisha yaliyojaa mafumbo na mitihani mingi , Mungu alimjaalia kila mja na talanta yake , ndio maana wengine walikua hodari kufaulu mitihani ya darasani na wengine wakawa hodari kufaulu mitihani ya maisha , hivyo usichoke kujitafuta ili ujue utaalaamu wako uko eneo gani
✔️✔️Kwa kawaida Muda hunyamazisha watu wengi wakiwemo wale waliojiona wao ni Bora kuliko watu wengine
📌📌Kwa kawaida Muda hunyamazisha watu wengi wakiwemo wale waliojiona wao ni Bora kuliko watu wengine
✔️✔️Kwa kawaida Muda hunyamazisha watu wengi wakiwemo wale waliojiona wao ni Bora kuliko watu wengine
👍👍Life is 100% spiritual . kila unachokiona kinatokea kwenye ulimwengu wa mwili tambua kua kilishatangulia kufanyika katika ulimwengu wa roho , kwa kila jema na kwa kila baya ulionalo kwa macho jua lilianzia kwenye ulimwengu wa roho. hakikisha unawekeza huko kwa sala na maombi
👍👍Life is 100% spiritual . kila unachokiona kinatokea kwenye ulimwengu wa mwili tambua kua kilishatangulia kufanyika katika ulimwengu wa roho , kwa kila jema na kwa kila baya ulionalo kwa macho jua lilianzia kwenye ulimwengu wa roho. hakikisha unawekeza huko kwa sala na maombi
Katika maisha yaliyojaa mafumbo na mitihani mingi , Mungu alimjaalia kila mja na talanta yake , ndio maana wengine walikua hodari kufaulu mitihani ya darasani na wengine wakawa hodari kufaulu mitihani ya maisha , hivyo usichoke kujitafuta ili ujue utaalaamu wako uko eneo gani
📌📌Wakati na bahati huwafikia Watu Wote
Asilimia miaSubira Ni Ngumu Lakini Malipo Yake Ni Makubwa.
✔️✔️Usipokua makini na mitandao , unaweza jikuta unawashauri watu ambao ni wewe ndie ulipaswa ujifunze kutoka kwao na kuomba ushauri wao
✅️✅️Kama ilivyo kwenye vita ni ngumu kila kitu kutokea Kama kilivyo pangwa pia na kwenye maisha ni hivyo hivyo , lakini kamwe usiache kupanga mipango yako ila unapaswa ujiandae kwa lolote lile
Kama ilivyo kwenye vita ni ngumu kila kitu kutokea Kama kilivyo pangwa pia na kwenye maisha ni hivyo hivyo , lakini kamwe usiache kupanga mipango yako ila unapaswa ujiandae kwa lolote lile
Subira Ni Ngumu Lakini Malipo Yake Ni Makubwa.