Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

✔️✔️
Bila Mungu huwezi kufika uendako na hata ukifosi utalipia gharama kubwa mno ya kudhoofisha afya yako au kuua wengine . maisha yamejaa hila na mitego mingii ili tu kumnasa mwanadamu, na kwa akili yako ndogo hutoweza peke yako bila Mungu kwani mambo mengi yamefichwa ili usiyajue
 
👍👍
 
Sahihi
Katika maisha yaliyojaa mafumbo na mitihani mingi , Mungu alimjaalia kila mja na talanta yake , ndio maana wengine walikua hodari kufaulu mitihani ya darasani na wengine wakawa hodari kufaulu mitihani ya maisha , hivyo usichoke kujitafuta ili ujue utaalaamu wako uko eneo gani
 
Mungu ni kila kitu..
 
KWELI

Life is 100% spiritual . kila unachokiona kinatokea kwenye ulimwengu wa mwili tambua kua kilishatangulia kufanyika katika ulimwengu wa roho , kwa kila jema na kwa kila baya ulionalo kwa macho jua lilianzia kwenye ulimwengu wa roho. hakikisha unawekeza huko kwa sala na maombi

✅️✅️

Back
Top Bottom