myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✔️✔️Maisha ni Mwalimu Mzuri Sana. Kati ya Vitu Vikubwa Ambavyo Maisha Yanafundisha ni Kuitumia Bahati ya Wakati Ulionao. Bahati Hiyo Ikishaondoka Hairejei Tena. Kumbuka Kuifanya Jana na Leo Yako Itoe Tafsiri Sahihi ya Kesho Yako Yenye Faida Kwako na Familia Yako"
SawasawaFaida za shukrani inafaida tatu zifuatazo
1.Shukrani inahifadhi baraka zako
2.Shukrani inazidisha baraka za Mungu juu ya maisha yetu
3. Shukrani inakufungulia msimu mpya au nyakati nzuri.
NAKUBALI NA HILIFaida za shukrani inafaida tatu zifuatazo
1.Shukrani inahifadhi baraka zako
2.Shukrani inazidisha baraka za Mungu juu ya maisha yetu
3. Shukrani inakufungulia msimu mpya au nyakati nzuri.
✅️✅️Ni katika nyakati za shida pekee ambapo mtu anapata nafasi ya kufikiria kwa ubunifu, kutatua matatizo, na kuonyesha ubora wake wa akili au kipaji.
Ugumu wa maisha sio kikwazo tu, bali ni fursa ya kuamsha na kuimarisha uwezo uliofichika ndani ya mtu.
📌📌Kubali maumivu ya kupunguza marafiki wasio na faida kwenye maisha yako ili kuepusha lawama zisizo za lazima huko mbeleni.
Maisha ni Mwalimu Mzuri Sana. Kati ya Vitu Vikubwa Ambavyo Maisha Yanafundisha ni Kuitumia Bahati ya Wakati Ulionao. Bahati Hiyo Ikishaondoka Hairejei Tena. Kumbuka Kuifanya Jana na Leo Yako Itoe Tafsiri Sahihi ya Kesho Yako Yenye Faida Kwako na Familia Yako"
Wahenga walikuwa sahihi Sana kutuambia" Mvumilivu hula mbivu"
Hili sawaKama hautakuwa mvumilivu, kuna mafanikio kamwe huwezi kuyapata
📌📌Wahenga walikuwa sahihi Sana kutuambia" Mvumilivu hula mbivu"
SawaKama hautakuwa mvumilivu, kuna mafanikio kamwe huwezi kuyapata
Maisha ni Mwalimu Mzuri Sana. Kati ya Vitu Vikubwa Ambavyo Maisha Yanafundisha ni Kuitumia Bahati ya Wakati Ulionao. Bahati Hiyo Ikishaondoka Hairejei Tena. Kumbuka Kuifanya Jana na Leo Yako Itoe Tafsiri Sahihi ya Kesho Yako Yenye Faida Kwako na Familia Yako"
✔️✔️Leo amua kuwa utakubali kuvumilia katika maeneo yote yatakayohitaji uvumilivu katika maisha YAKO.
Mvumilivu mara zote anaangalia matokeo ya mbele.
Vumilia kujifunza kwa nguvu zako zote ili uongeze maarifa ya mafanikio.
Vumilia kuachana na marafiki wasio na maono ambao muda mwingi mnautumia kuongelea watu na matukio.
Vumilia kujifunza kwa nguvu zako zote ili uongeze maarifa ya mafanikio.
✅️✅️Vumilia kujifunza kwa nguvu zako zote ili uongeze maarifa ya mafanikio.
SawasawaMvumilivu mara zote anaangalia matokeo ya mbele.