myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✔️✔️Maisha ni Mwalimu Mzuri Sana. Kati ya Vitu Vikubwa Ambavyo Maisha Yanafundisha ni Kuitumia Bahati ya Wakati Ulionao. Bahati Hiyo Ikishaondoka Hairejei Tena. Kumbuka Kuifanya Jana na Leo Yako Itoe Tafsiri Sahihi ya Kesho Yako Yenye Faida Kwako na Familia Yako"