Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Kweli ndugu yangu umenitenga aiseeNilisikia umemvalisha pete sammyluv juzi ulikuwa unamnywesha uji nsamaka.
Wewe si ndo Familia yake au Kuna kitu sijuiho chi minh na andjul angalia hii sentensi vizuri hivi haidhibitishi huyu ndugu yangu alinitenga kweli kweli hadi hajui nini ninaendelea juu yangu hivi karibuni. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila inanibidi nijibu tu.
sammyluv mzima ila yupo na family yake kwa sasa
Hata mimi sijakaa nikaelewa Cherie. How were the exams?Why lakini
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Chimbo mkuu. Maisha haya we wachaga tu. Ningekuwa The Chosen One nisingehangaika hivi!SHIMBA YA BUYENZE bado anawanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna cha mabwana wala nini. Inasemekana ni mahaba niue. Janga la kitaifa!