mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Wanaweka mambo hadharani [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahahha
andjul bubu kaongea huku[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112][emoji15] [emoji15] [emoji15]
KabisqKhalafu ukizingatia ni cha pua
Haki ya Mola wangu walahiHabari ISIS na mzee wa liver.
Napenda kuwapa taarifa kidogo kuwa mchina ho chi minh
Amepata matatizo ya akili baada ya kusikia habari hii.
Kwa sasa nipo nampeleka hospital kwa kutumia huu mgongo wa chura japo break hazikamati vizuri.
Mzee huyu aliyeanza kuvaa modo jana kwa sasa hali yake si nzuri huku[emoji23] [emoji23] [emoji23]
We Mzee unafukunyua sana ila sio mbaya
Tatizo moyo baba moyo sio akili yakeHilo ndio tatizo la mabinti wasio jielewa,kuna wana ndoa wana tengana kwa kupigana mapanga na siku ya siku maisha yanasimama kila mtu kivyake.Alikuwa anapewa nini na Diyamondi mpaka kaamua kuharibu maisha yake kiasi hicho?Mbona wenzie walio achana na Diyamondi maisha yanasonga mbele?
Una macho kumbe[emoji23] [emoji23]Yaala
Asante sanakula like nyingie