carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kuna watu wanaroho za kishetaniZAMBIA Mzungu amekamatwa kwa kumlisha chatu wake wanawake anaowaingiza kwake kwa ajili ya kufanya mapenzi. Inaelezwa kuwa kila mwanamke wa kiafrika aliyekuwa akiingia katika nyumba yake hatoki tena. Majirani wakatoa taarifa ndipo alipofuatiliwa na kukamatwa huku nyoka wake akiwa amemmeza binadamu anaehisiwa ni mmoja wa wanawake aliowaingiza kwake siku moja nyuma..Hakika huu ni Unyama wa kutisha... JE UNAHISI MZUNGU HUYU APEWE ADHABU GANI KALI??? FUNGUKA HAPA MDAUView attachment 542926
Secret star utapasuka kichwa
HhahaahahKwenye Uzi wetu pendwa
kwa kasi ya ajabu sanaBila kasi
Ili mradi ufungue macho na masikio usiweke pambaHakuna kupitwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahah ni mwendo wa kuyoga yoga tu[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] tayariiii... angayonga yonga ...angayonga yongaaaa[emoji444] [emoji444] [emoji445] [emoji442] [emoji445]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha nipitishe mchango wa matibabuHabari ISIS na mzee wa liver.
Napenda kuwapa taarifa kidogo kuwa mchina ho chi minh
Amepata matatizo ya akili baada ya kusikia habari hii.
Kwa sasa nipo nampeleka hospital kwa kutumia huu mgongo wa chura japo break hazikamati vizuri.
Mzee huyu aliyeanza kuvaa modo jana kwa sasa hali yake si nzuri huku[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wamefanya vizuri sana. Hongera mwenyekiti Kichwa Kichafu na uongozi wote!Hongereni kibiti
mzee wa liver interview bado inaendelea
Kwa lipi coleMchina anasaidia lakini
Uelewa tunatofautiana
[emoji112][emoji112][emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kula nondo ya likes hiyoatapata zaid ya hizo coz leo nimejipanga kisawasawa kugawa like kwa kila comment nitakayoiona kuanzia nukta mpaka sentensi
Soon150k
Alisema yupo kifungoniMwifa tupe data
Mie sikuwa upande wowote nilihitaji uweke wazi tu.Ho chi Minh majibu umepata
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] no commentsHabari ISIS na mzee wa liver.
Napenda kuwapa taarifa kidogo kuwa mchina ho chi minh
Amepata matatizo ya akili baada ya kusikia habari hii.
Kwa sasa nipo nampeleka hospital kwa kutumia huu mgongo wa chura japo break hazikamati vizuri.
Mzee huyu aliyeanza kuvaa modo jana kwa sasa hali yake si nzuri huku[emoji23] [emoji23] [emoji23]