Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Soon mamaMbio bado tu!?
1-1Matokeo ya Taifa stars ngapi ngapi?
Bila ajaliHatari
Interview bado maana ho chi minh bado hajapata majibu ya kukidhiMchina anasaidia lakini
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kichwa wanigeuka baada ya makoloni yote kukwama sio?
Mie mzima wa afya,
Napenda kuujurisha umma jana wakati anayazungumza mambo ya Nsamaka hakuwa kitandani,
Alikuwa kakaa kwenye sofa chakavu,
Asidanganye kuwa alikuwa ndotoni.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Boss BossTangu Uzi huu pendwa kuanza
SoonYaani 150k ndani ya siku ngapi
Ila ujue wana mibuyu yaoKuna watu wanaroho za kishetani
andjul kamanda njoo hukuMbona mzee wa liver alikuwa anaogopa?
Nahisi ni mpango wa kumfichia aibu mzee wa liver.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Ninatampiga ganzi asisikie maumivuSecret star utapasuka kichwa
Bila shaliHhahaahah
BalaaaaAnatisha
Amesaidia majibu kupatikanaKwa lipi cole
Halahala ule uyoga sumuHahahahah ni mwendo wa kuyoga yoga tu
Mzee wa dataSema mzee wa AMUN RA!