Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Unayo ile mashine ya TRA[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha nipitishe mchango wa matibabu
Taxi kimya kabisaUmenikumbusha teksi bubu zimeongeleshwa na kuongea baada ya UBER kutinga jijini
Endless Uzi hakuna mwisho Kama ISIDINGOTutaacha kukuuliza maswali pale utakapo weza kutabiri mwisho wa huu uzi wapi?
Ukishindwa maswali yanaendelea[emoji23] [emoji23]
Mpaka shetan anashangaa wamemzidi ujuziKuna watu wanaroho za kishetani
Mpaka shetan anashangaa wamemzidi ujuziKuna watu wanaroho za kishetani
Kichafu sasa kimesafishikaWamefanya vizuri sana. Hongera mwenyekiti Kichwa Kichafu na uongozi wote!
Hahahahahahaunaanzaje kufeli shule kama hiyo wakati wameshapewa mkwara kwamba wakifeli tu kitawatokea kama yanayowatokea viongozi wao lol
Mambo yamekuwa mamboWanaweka mambo hadharani [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie sikuwa upande wowote nilihitaji uweke wazi tu.
Tatizo kubwa kichwa kichafu anaumia kila akiona uhusiano wa wawili!
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Haijaisha tumzee wa liver interview bado inaendelea
Soon150 k
The needEndless Uzi hakuna mwisho Kama ISIDINGO
To get the questions wrong
Pole nivumilie tuHaki ya Mola wangu walahi
Hahahaha mbavu zangu jamani
Enheeee...ongea mchina, sisi ndugu zako, haupo peke yako...unataka kusema???
Pole yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha nipitishe mchango wa matibabu