Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ni rahisi sana kusema huna muda unapohitajika ila ni ngumu sana pale unaposikia kutoka kwa mwenzio unapomuhitaji mtu.
Many aspire or even indulge in entrepreneurship, but not all succeed due to not being familiar with the essential principles of entrepreneurship. It is clear that in order to establish anything successful, you must master the principles of doing the thing the right way.
It's very easy to say you don't have time when you need it but it's really hard when you hear from a partner when you need someone.
📌📌Wengi hutamani au hata kujiingiza kwenye ujasiriamali, lakini siyo wote wanaofanikiwa kutokana na kutokufahamu kanuni muhimu za ujasiriamali. Ni wazi kuwa ili uanzishe kitu chochote chenye mafanikio, ni lazima ufahamu kanuni za kukifanya kitu hicho jinsi ipasavyo.
📌📌📌Given that access to employment has become so problematic, many people find themselves with the option of becoming the only entrepreneurs in their lives.
Entrepreneurship is more than just making money, you must first solve someone's challenge and then you will be able to earn money from the person in question. It is important that you are aware of this principle as an entrepreneur as you will not focus on making money but will focus on solving people's problems.
Fahamu wanataka nini.
Sikiliza maoni na ushauri wao.
Hakikisha unakamilisha mahitaji yao.
Tumia lugha nzuri na rafiki kwa wateja.
Mfanye mteja aone unamthamini.
Mfanye mteja aone kuwa umetanguliza huduma kabla ya pesa.
If you are an entrepreneur, then clear the mind that customers need you. Be aware that you, as an entrepreneur, are the ones who need customers to grow your business or service. Make sure these things about customers:
Fahamu na jali wateja
Ikiwa wewe ni mjasiriamali, basi futa mawazo kuwa wateja wanakuhitaji wewe. Fahamu kuwa wewe kama mjasiriamali, ndiye unaye wahitaji wateja ili ukuze biashara au huduma yako. Hakikisha mambo haya kuhusu wateja
✅️✅️Always remember that the competition is fierce, so strive to increase the productivity and quality of your services and products.
Fahamu na jali wateja
Ikiwa wewe ni mjasiriamali, basi futa mawazo kuwa wateja wanakuhitaji wewe. Fahamu kuwa wewe kama mjasiriamali, ndiye unaye wahitaji wateja ili ukuze biashara au huduma yako. Hakikisha mambo haya kuhusu wateja
📌📌Kwa mfano kama kuna tatizo la upatikanaji wa mboga katika mji au eneo unalokaa, ikiwa wewe utaleta mboga katika eneo hilo ni wazi kuwa watu watakupa pesa ili uwape mboga. Hivyo ni muhimu kila mara ukatafuta changamoto ukaitatua, nawe bila shaka utapata pesa za uhakika
Successful entrepreneurs are those who were able to turn their vision into reality"
Kuwa na maono
Hakuna ujasiriamali bila maono. Kuwa mjasiriamali bila maono ni sawa na kuendesha gari isiyokuwa na usukani. Maono katika ujasiriamali yatakuwezesha kukuongoza ufanye nini na kwa muda gani. Ni lazima ujiulize kuwa unataka kuwa nani, lini na unataka kufanya nini baadaye? Jonathan Swift alisema maono ni sanaa ya kuona kile ambacho wengine hawaoni. Ni lazima uwe na lengo na ufanye bidii kulifikia.
There is no entrepreneurship without vision. Being an entrepreneur without a vision is akin to driving a car without a steering wheel. A vision in entrepreneurship will allow you to guide you to do what and for how long. You must ask yourself who you want to be, when and what do you want to do next? Jonathan Swift said vision is the art of seeing what others don't see. You must have a goal and work hard to achieve it.
SawasawaNaamini kwa kufanya hivi utaweza kujijengea msingi mzuri wa wateja kwa ajili ya huduma au bidhaa zako kila siku.
One of the principles of increasing your sales as an entrepreneur is to be well aware of the market. Make sure the service or product you offer meets the requirements and reaches the right market.