Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

✅️✅️✅️
I believe you are aware that there are important principles that you as an entrepreneur need to adhere to in order to be successful. It is clear that hard work, good planning and not giving up will allow you to achieve your goal of success as an entrepreneur.
 
Nipende kuchukua nafasi hii kuwapongeza viongozi wangu wa kisiasa kwa machache mliyonifanyia.Nipende pia kuwapongeza baadhi ya wabunge ambao huuliza maswali yenye akili kwenye bunge letu la jamhuri ya muungano wa Tanzania.Nina imani kubwa kuwa wananchi wenu wanawapenda na watawachagua tena ili muendelee kuwa wakilisha.

Kikubwa ni kuendelea kuwa wazalendo kwenye nchi yetu tuliyopewa na Mwenyezi Mungu.
Aisee
 
Back
Top Bottom