Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

It is clear that a good use of money is a very important principle for an entrepreneur, since in this way you will be able to grow your business every day. Learn to appreciate what money is for, and use it only for the basics. Avoid extravagant and luxurious habits. If your business or investment is large, then you can hire someone with a background in money handling and management.
✅️✅️✅️
 
✅️✅️
For example if you are an egg producer, but the area where the market is located is poor, then look for another area where the market for this product is good. If you can't go, you can find someone in an area with a good market and sell you your product and give them some dividends.
 
✔️✔️
For example, if there are customers who had trouble finding your service or product, first settle this question before proceeding to put in the effort to sell a new product. By doing this you will be able to make things out of its importance, which will allow you to grow.
 
👍👍
Tumia muda vizuri
Hakuna mtu mwenye zaidi ya saa 24 duniani; lakini mwingine muda unamtosha wakati mwingine analalamika muda haumtoshi. Ni wazi kuwa mpangilio au matumizi mabaya ya muda ndiyo husababisha changamoto hii. Wewe kama mjasiriamali ni muhimu ukaondoa mambo yasiyokuwa na ulazima kwenye ratiba yako. Tambua ni kitu gani ni cha muhimu zaidi na ukifanye kwa wakati.
 
NAJIFUNZA
Jifunze kwa waliofanikiwa
Watu wengi wameshindwa kufanikiwa kwenye maisha yao kwa sababu wanajifunza kwa walioshindwa. Walioshindwa wana maneno mengi, hasa ya kukatisha tamaa kama vile hili haliwezekani, hili linahitaji pesa nyingi sana, mimi lilinishinda, linachosha, lina faida ndogo, kuna wengi wanaolifanya, fulani alishindwa n.k.
 
MAARIFA
Ongeza maarifa
Kwanza nikupongeze kwa kusoma makala hii, ni wajasiriamali wachache sana ndiyo hupenda kusoma makala na vitabu mbalimbali ili kuongeza maarifa. Ni muhimu sana kila mara ukajizoesha kujiongezea maarifa, hasa ya ujasiriamali pamoja na kile unachokifanya; hili liitakuwezesha kuwa na tija na kufanya kazi kwa ufanisi zaidi.
 
Changamoto zipo leo na kesho lakini keshokutwa hazitakuwepo tena; jambo unalotakiwa kufanya ni kutazama lengo lako na kufanya bidii kila kukikucha kuzikabili changamoto husika ili ufikie lengo lako.
✔️✔️
 
Back
Top Bottom