myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
ππMake sure you as an entrepreneur stay close to your customers to solve their problems and needs; Also make sure you learn the best practices for doing business over the internet.
We live in a world of science and technology, so you as an entrepreneur cannot separate yourself from them. By leveraging technologies such as mobile and the internet, you can reach more people and increase sales of your services or products
Usipuuze nafasi ya teknolojia
Tunaishi kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia, hivyo wewe kama mjasiriamali huwezi kujitenga nao. Kwa kupitia teknolojia kama vile simu na mtandao wa intaneti, unaweza kuwafikia watu wengi zaidi na kuongeza mauzo ya huduma au bidhaa zako.
Sawa"No" is a small but highly beneficial answer. If you are an entrepreneur, it is important to adhere to this principle of saying no as it will exclude you from unnecessary things or plans.
You can also learn on your own how to take care of and spend money effectively; you can also use free computer programs such as the Wave app to take care of your calculations
β οΈβ οΈβ οΈIt is clear that a good use of money is a very important principle for an entrepreneur, since in this way you will be able to grow your business every day. Learn to appreciate what money is for, and use it only for the basics. Avoid extravagant and luxurious habits. If your business or investment is large, then you can hire someone with a background in money handling and management.
For example if you are an egg producer, but the area where the market is located is poor, then look for another area where the market for this product is good. If you can't go, you can find someone in an area with a good market and sell you your product and give them some dividends.
Usikate tamaa
Ni wazi kuwa katika safari ya ujasiriamali utakutana na changamoto mbalimbali. Jambo la msingi ni kukumbuka kanuni hii kuwa usikate tamaa. Tumia changamoto kama chachu ya kukuhamasisha kufanya bidii zaidi na usirudi nyuma.
For example, if there are customers who had trouble finding your service or product, first settle this question before proceeding to put in the effort to sell a new product. By doing this you will be able to make things out of its importance, which will allow you to grow.
Kwa mfano ikiwa kuna wateja walipata shida kupata huduma au bidhaa yako, maliza kwanza swala hili kabla ya kuendelea kuweka jitihada za kuuza bidhaa mpya. Kwa kufanya hivi utaweza kufanya mambo kutokana na umuhimu wake, jambo ambalo litakuwezesha kukua.
Tumia muda vizuri
Hakuna mtu mwenye zaidi ya saa 24 duniani; lakini mwingine muda unamtosha wakati mwingine analalamika muda haumtoshi. Ni wazi kuwa mpangilio au matumizi mabaya ya muda ndiyo husababisha changamoto hii. Wewe kama mjasiriamali ni muhimu ukaondoa mambo yasiyokuwa na ulazima kwenye ratiba yako. Tambua ni kitu gani ni cha muhimu zaidi na ukifanye kwa wakati.
Wewe kama mjasiriamali, epuka watu hawa na ujifunze kwa waliofanikiwa, fahamu walitatua vipi changamoto walizokabiliana nazo pamoja na mipango waliyoitumia hadi wakafika hapo walipo.
Jifunze kwa waliofanikiwa
Watu wengi wameshindwa kufanikiwa kwenye maisha yao kwa sababu wanajifunza kwa walioshindwa. Walioshindwa wana maneno mengi, hasa ya kukatisha tamaa kama vile hili haliwezekani, hili linahitaji pesa nyingi sana, mimi lilinishinda, linachosha, lina faida ndogo, kuna wengi wanaolifanya, fulani alishindwa n.k.
Ongeza maarifa
Kwanza nikupongeze kwa kusoma makala hii, ni wajasiriamali wachache sana ndiyo hupenda kusoma makala na vitabu mbalimbali ili kuongeza maarifa. Ni muhimu sana kila mara ukajizoesha kujiongezea maarifa, hasa ya ujasiriamali pamoja na kile unachokifanya; hili liitakuwezesha kuwa na tija na kufanya kazi kwa ufanisi zaidi.
ππBy doing this you will be able to target the market and increase your profits more as an entrepreneur.
βοΈβοΈChangamoto zipo leo na kesho lakini keshokutwa hazitakuwepo tena; jambo unalotakiwa kufanya ni kutazama lengo lako na kufanya bidii kila kukikucha kuzikabili changamoto husika ili ufikie lengo lako.
SawasawaMaisha hayahitaji mashindano! Kila mtu atafanikiwa kwa wakati wake! Jambo la msingi ni kuongeza jitihada kukimbizana na muda
Uko SawasawaSiri ya mafanikio yetu ni kutokukata tamaaβ
KweliKuna wakati unachoka kuwa na matumaini. Si kwa sababu umekata tamaa, bali kwa sababu matarajio yamekuchosha kupita maumivu.
Hakikisha Ukikaa Kwenye Meza Na Marafiki Zako Muwe Mnaongelea Mambo Ya Mungu, Kukua, Biashara,Malengo Na Hela ila Sio Kuongelea WATU.