myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeMatatizo Ni mwisho wa sura na sio mwisho wa kitabu.
β οΈβ οΈMatatizo Ni mwisho wa sura na sio mwisho wa kitabu.
ππMatatizo Ni weusi ulioko nyuma, mbele Ni kweupe pee!
β οΈβ οΈβ οΈMatatizo Ni sumaku inayokuvuta uwe karibu na Mungu.
βοΈβοΈβοΈMatatizo Ni mawimbi katika bahari ya maisha
πππIli uwe mkubwa usikatae fursa za kuwa mdogo. Na kila fursa inayokuja mbele yako usiidharau. Ina kusudi maalumu.
β οΈβ οΈIli uwe mkubwa usikatae fursa za kuwa mdogo. Na kila fursa inayokuja mbele yako usiidharau. Ina kusudi maalumu.
πππIli uwe mkubwa usikatae fursa za kuwa mdogo. Na kila fursa inayokuja mbele yako usiidharau. Ina kusudi maalumu.
SawasawaMatatizo Ni Mtihani.
SawasawaMatatizo Ni Mtihani.
βοΈβοΈMatatizo Ni mawimbi katika bahari ya maisha
SawasawaMatatizo Ni Mtihani.
Ndugu yangu, kisichokuua kinakukomaza. Mambo magumu yanapozidi kuja watu wagumu wanasonga mbele
Mungu anawapa ndege chakula, lakini haweki kwenye viota vyao
Mungu anawapa ndege chakula, lakini haweki kwenye viota vyao
Tenda mema bila kuangalia malipo unayopewa
β οΈβ οΈβ οΈJitahidi sana, nasema jitahidi uwe na kitu kinachokutambulisha wewe popote unapoishi au jumuia ulipo, wasipokuona wewe waone ishara yako au kazi yako.
ππJitahidi sana, nasema jitahidi uwe na kitu kinachokutambulisha wewe popote unapoishi au jumuia ulipo, wasipokuona wewe waone ishara yako au kazi yako.
βοΈβοΈβοΈNdugu yangu, kisichokuua kinakukomaza. Mambo magumu yanapozidi kuja watu wagumu wanasonga mbele
Ndugu yangu, kisichokuua kinakukomaza. Mambo magumu yanapozidi kuja watu wagumu wanasonga mbele