myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
ππUkiona Maamuzi yako hayana, Kipaumbele kwake mpe nafasi Mtu mwingine uyo sio wa kwako Tena.
ππKuna wakati unapitia magumu sana kwenye mapambano yako ukiwa peke yako hutamuona rafiki wala ndugu akitoa msaada unachopaswa kufanya ni kuweka imani yako kwa Mungu bila kukata tamaa
β οΈβ οΈNi bora kuwa na adui anaejionyesha hadharani kuliko kuwa na rafiki anaekudidimiza
ππAmini leo yako itakua njema kuliko jana, maana Mungu anakuwazia mema kila iitwapo leo. Hongera kwa kuamka salama.
Amini leo yako itakua njema kuliko jana, maana Mungu anakuwazia mema kila iitwapo leo. Hongera kwa kuamka salama.
βοΈβοΈLaiti Kama wanyama wangelikua na dini , basi mwanadamu ndio angekua shetani mwenyewe
AiseeLaiti Kama wanyama wangelikua na dini , basi mwanadamu ndio angekua shetani mwenyewe
ππHata Ukifa kwa Njaa, Msibani Lazima wapike.
USIJISAHAU.
Mungu Abariki Kazi za Mikono Yetu na Leo!
β οΈβ οΈNi bora kuwa na adui anaejionyesha hadharani kuliko kuwa na rafiki anaekudidimiza
itahidi Uwe Msiri Mpaka Wakushauri Ununue Kiwanja Kumbe Wewe Umesha Jenga.
itahidi Uwe Msiri Mpaka Wakushauri Ununue Kiwanja Kumbe Wewe Umesha Jenga.
Watu hawakumbuki jinsi ulivyowasaidia, bali wanakumbuka uliposhindwa kuwasaidia mara moja.
Watu hawakumbuki jinsi ulivyowasaidia, bali wanakumbuka uliposhindwa kuwasaidia mara moja.
βοΈβοΈUsimdanganye Mtu Anayekuamini, Na Kamwe Usimwamini Mtu Anayekudanganya.
Watu hawakumbuki jinsi ulivyowasaidia, bali wanakumbuka uliposhindwa kuwasaidia mara moja.
Usimdanganye Mtu Anayekuamini, Na Kamwe Usimwamini Mtu Anayekudanganya.
Usipoteze muda na nguvu zako kupigania kitu ambacho huna masilahi nacho hata kidogo.
Huenda tunaishi katika neema ambazo tuliwahi kupiga goti kumuomba Mungu atujaalie neema hizo. Hatujioni kwa sababu mioyo ya mwanadamu si yenye kushukuru hata kwa kidogo. Ikipata pesa inataka tatu na ikipata tatu inataka tano
SawasawaManeno mazuri ya hekima ni katika sehemu ya uadilifu kwa mwanadamu yeyote. Awe kiongozi au muongozwa ni muhimu kuwa makini na kila neno linalotoka katika kinywa chake. Yanamtoka mtu maneno hadi unajiuliza kama ana wazazi au watoto nyumbani.