myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Matokeo ya mtu mtu muoga akibadilika na kuwa jasiri
1. Hujiamini zaidi bila kuoga kitu.
2. Hukabili changamoto bila woga.
3. Huinua hadhi yake kwa jamii.
4. Hufikia malengo kwa ufanisi.
5. Huwa kiongozi wa kuigwa.
Matokeo ya mtu mtu muoga akibadilika na kuwa jasiri
1. Hujiamini zaidi bila kuoga kitu.
2. Hukabili changamoto bila woga.
3. Huinua hadhi yake kwa jamii.
4. Hufikia malengo kwa ufanisi.
5. Huwa kiongozi wa kuigwa.
SawasawaUkianza kama mbuyu kumbuka kumaliza kama mbuyu
Sawasawa βοΈKila mtu alianza akiwa asiyejua. Usijidharau kwa sababu hujamaliza, angalia jinsi ulivyoanza.
ππUmuhimu wa kupambana na shida zako mwenyewe
1. Huimarisha uimara wa akili.
2. Hujenga uzoefu wa maisha.
3. Hukuza uwezo wa kujitegemea.
4. Huweka misingi ya mafanikio.
5. Hujenga nidhamu na uvumilivu.
βοΈβοΈβοΈUkitaka heshima itafute kwenye kapu la dharau na ukitaka dharau itafute kwenye kapu la heshima!
ππHatujui tunakoenda ila tuna imani na mwelekeo!!
βοΈβοΈβοΈHatujui tunakoenda ila tuna imani na mwelekeo!!
πππHatujui tunakoenda ila tuna imani na mwelekeo!!
β οΈβ οΈβ οΈUmuhimu wa kupambana na shida zako mwenyewe
1. Huimarisha uimara wa akili.
2. Hujenga uzoefu wa maisha.
3. Hukuza uwezo wa kujitegemea.
4. Huweka misingi ya mafanikio.
5. Hujenga nidhamu na uvumilivu.
ππUmuhimu wa kupambana na shida zako mwenyewe
1. Huimarisha uimara wa akili.
2. Hujenga uzoefu wa maisha.
3. Hukuza uwezo wa kujitegemea.
4. Huweka misingi ya mafanikio.
5. Hujenga nidhamu na uvumilivu.
SawasawaKusema βhapanaβ si ukatili, ni kujithamini. Amani ya kweli huanza pale unapoweka mipaka.
βοΈβοΈPesa huja kwa subira na maarifa, si haraka na majivuno.
Mafanikio ya haraka mara nyingi hayadumu. Njia ngumu ndiyo inajenga msingi imara wa maisha bora.
Wakati mwingine kuwa kama Mti haushindani na miti iliyomzunguka unakua tu
πππKuna wakati utafika maisha yataondoa kila kitu kinacho kupatia furaha, ishi ukiamini hakuna kitakacho dumu milele
Mtu wa karibu ndiye atakae kuumiza, ukiona mtu wa mbali amekuumiza ujue katumwa.
Nilichokuja kuamini ni kuwa Mungu anajibu maombi yetu sema inategemea na uvumilivu wetu na imani yetu juu ya kile Tunachokiomba
Nilichokuja kuamini ni kuwa Mungu anajibu maombi yetu sema inategemea na uvumilivu wetu na imani yetu juu ya kile Tunachokiomba