myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
πππLuck is when preparedness meets opportunity.
βοΈβοΈβοΈWengine Walikuja Kama Marafiki Lakini Sasa ....Wamekuwa Ndugu Zetu
πππKuwa hai ni zawadi tosha kuwa bado una nafasi ya kufikia malengo yako.
πππKuwa hai ni zawadi tosha kuwa bado una nafasi ya kufikia malengo yako.
β οΈβ οΈβ οΈWengine Walikuja Kama Marafiki Lakini Sasa ....Wamekuwa Ndugu Zetu
ππππUnapochagua Kukaa Kimya Unamruhusu Mungu Azungumze Kwa Niaba Yako
βοΈβοΈβοΈHakuna mafanikio makubwa kama kukiweza kitu ambacho wengi wanakishindwa
πππHakuna mafanikio makubwa kama kukiweza kitu ambacho wengi wanakishindwa
β οΈβ οΈβ οΈUnapochagua Kukaa Kimya Unamruhusu Mungu Azungumze Kwa Niaba Yako
Uko SawasawaUsikubali kushindwa pasipo kupambana.
πππBaadhi ya mafunzo hayatoki kwenye vitabu wala ushauri.
Hutokana na usaliti, maumivu ya kuvunjwa moyo, na kujaribu kumsaidia mtu asiye sahihi.
πππBaadhi ya mafunzo hayatoki kwenye vitabu wala ushauri.
Hutokana na usaliti, maumivu ya kuvunjwa moyo, na kujaribu kumsaidia mtu asiye sahihi.
β οΈβ οΈβ οΈLeo tunasimama kwa niaba ya wengine. Wale walio katika matatizo, waliovunjika moyo, waliopoteza tumaini kwa sababu ya ugonjwa, kupoteza wapendwa wao, chanzo cha mapato, au mali. Gusa kila mmoja katika hitaji lake.*
SawasawaJahazi halizamishwi na wingi wa maji ya bahari ila litazama pindi maji yatakapo ingia ndani yake. usiruhusu watu wajue undani wako utazama
πππLeo tunasimama kwa niaba ya wengine. Wale walio katika matatizo, waliovunjika moyo, waliopoteza tumaini kwa sababu ya ugonjwa, kupoteza wapendwa wao, chanzo cha mapato, au mali. Gusa kila mmoja katika hitaji lake.*
Leo tunasimama kwa niaba ya wengine. Wale walio katika matatizo, waliovunjika moyo, waliopoteza tumaini kwa sababu ya ugonjwa, kupoteza wapendwa wao, chanzo cha mapato, au mali. Gusa kila mmoja katika hitaji lake.*