myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Maisha ni darasa ambalo kila mtu anapita kusoma bila kulazimishwa na fimbo
SawasawaKitu pekee kinachoweza kukufelisha maisha ni maradhi, mengine yapo ndani ya uwezo wako kuyaepuka
SawaUkiona Fursa Inayoweza Kuwapush Marafiki zako, Wapigie simu Uwashirikishe/ Waunganishe. Maisha huwa Mazuri Zaidi Pale Cycle ya Marafiki Zako kwa Pamoja Inashinda haya Maisha
SawasawaUkiona Fursa Inayoweza Kuwapush Marafiki zako, Wapigie simu Uwashirikishe/ Waunganishe. Maisha huwa Mazuri Zaidi Pale Cycle ya Marafiki Zako kwa Pamoja Inashinda haya Maisha
NakubalianaHakikisha unamwomba Mungu kwanza asubuhi kabla ya kufanya jambo lako lolote utafanikiwa sana.
Ukiona Fursa Inayoweza Kuwapush Marafiki zako, Wapigie simu Uwashirikishe/ Waunganishe. Maisha huwa Mazuri Zaidi Pale Cycle ya Marafiki Zako kwa Pamoja Inashinda haya Maisha
SawasawaWanaweza Kuchafua Jina lako,ila Ni Ngumu San Kuchafua Baraka ambazo Mungu amekuwekea Ndani Yako..
SawasawaKama jua linavyoinuka bila kuchoka, na wewe usichoke kuamini ndoto zako..
UjumbeDharau inaweza kufunga mlango ambao msamaha hauwezi kuufungua
Baraka za Mungu ni kama mvua laini inayoshuka juu ya moyo unaosali, haziji kwa kelele, bali huja kwa utulivu wa imani
SawasawaUsitoe zaidi ya unachopokea
Uwe na imani kwamba ule wakati ambao mipango yako mwenyewe haifanyi kazi inawezekana ni Mungu anazuia ili kukulinda utoke kwanza kwenye jambo ambalo halitakuwa na matokeo mazuri na halikuwa kwa ajili yako.
Baraka za Mungu ni kama mvua laini inayoshuka juu ya moyo unaosali, haziji kwa kelele, bali huja kwa utulivu wa imani
Baraka za Mungu ni kama mvua laini inayoshuka juu ya moyo unaosali, haziji kwa kelele, bali huja kwa utulivu wa imani