myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeMaisha sio mashindano ya haraka. Ni safari ya maarifa, maamuzi sahihi, na mwelekeo sahihi.
SawasawaMacho ya chuki hayawezi kutambua thamani ya moyo safi—ukitazamia mabaya, utapuuza mema yaliyoko wazi kabisa.
✅️✅️✅️Maisha sio mashindano ya haraka. Ni safari ya maarifa, maamuzi sahihi, na mwelekeo sahihi.
SawasawaMafanikio Yako Yanajengwa na Juhudi Zako Hizo Hizo Ndogo Ndogo Usikate tamaa.
📌📌📌Ubora wa Maisha ya Mtu ni matokeo ya Mapambano anayoyachagua, Hakujawahi kuwa na Mteremko.
Kweli hiliHuwezi kumridhisha kila mtu lakini pia huwezi kumridhisha mtu mmoja kila wakati..
👍👍👍Huwezi kumridhisha kila mtu lakini pia huwezi kumridhisha mtu mmoja kila wakati..
SawaHaijalishi Wewe Ni Mwenye Huruma Au Mkarimu Kiasi Gani Hutaweza Kamwe Kumridhisha Mtu Asiye Na shukrani
Ubora wa Maisha ya Mtu ni matokeo ya Mapambano anayoyachagua, Hakujawahi kuwa na Mteremko.
Unapoomba hakikisha unaomba upewe ulinzi kuna hatari nyingi usizoweza kuziona Kwa macho.
Ukiona unaweza kutafuta chako hakikisha unatafuta Ila ukiona huwez kutafuta chako acha kuwa dharau wanao tafuta vya kwao
📌📌Ukiona unaweza kutafuta chako hakikisha unatafuta Ila ukiona huwez kutafuta chako acha kuwa dharau wanao tafuta vya kwao
✔️✔️Muda Mwingine Jitahidi Kutotangaza Shida Zako Mana Ukihifadhi Utaona Maisha Yako Yanakua Ni Mwepesi .
Ujumbe muhimuKazi na kipato chake,ni miongoni mwa vitu ambavyo hupaswi kuvidharau kutoka kwa Mtu
AiseeUnapoomba hakikisha unaomba upewe ulinzi kuna hatari nyingi usizoweza kuziona Kwa macho.
AiseeKazi na kipato chake,ni miongoni mwa vitu ambavyo hupaswi kuvidharau kutoka kwa Mtu
✅️✅️Changamoto zisizo tuua zinatufunza na kutuimarisha.
SawasawaTafuta nafasi onyesha ulichonacho, kipe thamani na hapo utaona watu wanatoa pesa mifukoni mwao wanakulipa