myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
UjumbeDunia ya sasa heshima inakuja kutokana na pesa unazomiliki sio umri wala elimu kiasi gani uliyonayo.
Pesa Inatafutwa Kwa Ugumu Ukimuomba Mtu,Muombe Kwa Adabu..
Pesa Inatafutwa Kwa Ugumu Ukimuomba Mtu,Muombe Kwa Adabu..!
SahihiWema wako kwa wengine ni kama baraka ya funguo kwa kila unalolihitaji katika maisha yako
Tujifunze Kuwa Viziwi Kwenye Kila Neno La kutukatisha Tamaa Kwenye maisha yetu.Hao unawaona leo wamefanikiwa walikuwa Chini kama wewe, tofauti yao na wewe wenzako hAwakukata Tamaaa.
Mara nyingi, maamuzi tunayoogopa ndiyo hasa yanayobeba mabadiliko tunayoyahita maishani. Hofu hukuzuia kuona picha kubwa lakini ndani yake kuna nafasi ya kukua, kubadilika na kuvuka mipaka uliyoiweka mwenyewe.Nb; Usiogope kuchukua hatua kwa sababu ya hofu ya kushindwa..
πWema wako kwa wengine ni kama baraka ya funguo kwa kila unalolihitaji katika maisha yako
Tujifunze Kuwa Viziwi Kwenye Kila Neno La kutukatisha Tamaa Kwenye maisha yetu.Hao unawaona leo wamefanikiwa walikuwa Chini kama wewe, tofauti yao na wewe wenzako hAwakukata Tamaaa.
Ujumbe muhimuMara nyingi, maamuzi tunayoogopa ndiyo hasa yanayobeba mabadiliko tunayoyahita maishani. Hofu hukuzuia kuona picha kubwa lakini ndani yake kuna nafasi ya kukua, kubadilika na kuvuka mipaka uliyoiweka mwenyewe.Nb; Usiogope kuchukua hatua kwa sababu ya hofu ya kushindwa..
Baraka si tu vitu tunavyopokea, bali ni hali ya ndani ya kutambua kuwa kila pumzi ni zawadi, na kila kuchelewa ni somo lenye neema.
Itumikie na kuitumia leo yako vizuri ili iwe mwanzo mzuri wa kesho na kumbuka kuwa leo ikipita hakuna uwezekana wa kuirudisha nyuma.
πππOmba chanzo cha pesa na sio matokeo, Badala tu ya kuomba pesa omba Mungu akupe neema na upako wa kuzalisha pesa.
ππUkifa hadi adui yako atakusema Kwa mazuri Ila ukishindwa hata watu wako wakaribu watakukataa. Usikate tamaa
SahihiHaijalishi umefeli kiasi gani jifunze kukataa Ofa zinazokuja kwa kukukosea heshima na kushusha Utu wako
Ujumbe wa maanaOmba chanzo cha pesa na sio matokeo, Badala tu ya kuomba pesa omba Mungu akupe neema na upako wa kuzalisha pesa.
Nakubaliana na weweOmba chanzo cha pesa na sio matokeo, Badala tu ya kuomba pesa omba Mungu akupe neema na upako wa kuzalisha pesa.
Ukweli huuHakuna mtu aliye tajiri kiasi cha kuweza kuinunua jana lakini ukifanya bidii kesho inaweza kuwa yako