Nyumbu ( wildebeest) uzito 140 hadi 220
kulingana na afya yake, hupendelea kula nyasi
ndogo ndogo zinazochipua, kama hatopata
suluba huishi hadi miaka 17 na kidogo.uzee
ukimzidi akishindwa kufanya safari kutafta
malisho na wenzake basi hufa kwa njaa, eidha
ufanywa kitoweo cha jioni na mtawala wa
eneo hilo (simba)