Nipo mama nimekumic kweli kweliMkuu upo?
Yupo keshakuja. Wamepotea Kisu cha Ngariba na Ukhuty. Halafu ni couple sasa. Sijui ndo fungate....kacnia kapotea siku 2 hizi
Kizimbuzi ndiye alitenda dhambi kunitag tar 16 siku ya kwanza wa uzi .upumzi mtupu! kwani like zina faida gani? huu uzi unawafaa akina jingalao, mjingamimi, Kubwajinga, na Kichwa Kichafu
Kweli bro yaani kunavitu vingine bhana kama ovyo kumbeHata mimi niliona nikapotezea. Baadaye nikarudi kusoma lugha ya Kigagagigikoko ya Ukhuty. Na sikuondoka tena japo nilikuwa napitisha hata siku tatu bila Kuchungulia....
Hebu fikiria opportunities mbalimbali za kiuchumi ambazo huwa zinatujia lakini tunazipotezea ama kwa kudharau tu au kwa kudhani kuwa ni concept ya kijinga na haitafika popote + sababu zinginezo. Mark Zuckerberg alichekwa sana alipowaeleza wenzake bwenini Harvard kuhusu Facebook. Wengine waliondoka bila kujali. Founder wa Uber hali kadhalika. Mifano ni mingi....
Mkuu, this was almost you! Yaani kidogo tu dah! Kweli chelewa chelewa utakuta mwana si wako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]
Kamanda wangu shimba ya buyenze heshima kwakoYupo keshakuja. Wamepotea Kisu cha Ngariba na Ukhuty. Halafu ni couple sasa. Sijui ndo fungate....
Nimefika tayari chapCole. Shemeji anasikia usingizi. Njoo umbebe umpeleke kitandani akalale!
[emoji1][emoji1]Cole. Shemeji anasikia usingizi. Njoo umbebe umpeleke kitandani akalale!
We acha tu..Mkuu, this was almost you! Yaani kidogo tu dah! Kweli chelewa chelewa utakuta mwana si wako [emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu tenaNipo mama nimekumic kweli kweli
Itakua fungateYupo keshakuja. Wamepotea Kisu cha Ngariba na Ukhuty. Halafu ni couple sasa. Sijui ndo fungate....
Karibu tena mkuu. Avatar yako mpya kidogo inichanganye...Kamanda wangu shimba ya buyenze heshima kwako
Asante mkuu twende sambambaKaribu tena
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Mkuu, this was almost you! Yaani kidogo tu dah! Kweli chelewa chelewa utakuta mwana si wako [emoji23][emoji23][emoji23]
That's my young bro...Nimefika tayari chap
[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kizimbuzi ndiye alitenda dhambi kunitag tar 16 siku ya kwanza wa uzi .
Hadi leo nimeng'ang'ania humu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo hiyo day 16 siku ya uzi kuanzishwa na kaka yang the choosen one kunitag ndio akamsha dude nilipokuwepo hadi humu ndani.Kichwa Kichafu uko wapi kaka uje huku tulike mwambie na Chimoto
Kama ya QUIGLEY na Sammyluv...Itakua fungate
Kweli kabisa. Ila kinachonishangaza mwenye uzi kaupotezea kama sio yeye. Badala angekuja akaoga likes za kutosha.Hata mimi niliona nikapotezea. Baadaye nikarudi kusoma lugha ya Kigagagigikoko ya Ukhuty. Na sikuondoka tena japo nilikuwa napitisha hata siku tatu bila Kuchungulia....
Hebu fikiria opportunities mbalimbali za kiuchumi ambazo huwa zinatujia lakini tunazipotezea ama kwa kudharau tu au kwa kudhani kuwa ni concept ya kijinga na haitafika popote + sababu zinginezo. Mark Zuckerberg alichekwa sana alipowaeleza wenzake bwenini Harvard kuhusu Facebook. Wengine waliondoka bila kujali. Leo hii wameandika mpaka vitabu! Founder wa Uber hali kadhalika. Mifano ni mingi....